Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii story ina uhalisia mkubwa sana,
Prisca amemaliza chuo mwaka huu LLB- UDSM na nikweli wamefanana na dada yake Mary, Nimeweza kuyajua majina yao halisi ila kwa heshima ya INSIDER nitabaki nayo kama siri. Prisca amepanga Changanyikeni karibu na kwa mama Ndalichako, kwao halisi ni Mbezi Beach nyuma ya sheli ya Oryx kama unakwenda Upepo Garden ndo kwao, kule sijui shopperz ni Code ilitumika tu.

Prisca rafiki yake wa chuo ni mmoja tu ndo huyo Eva na ni mtu ambaye yuko kivyakevyake sio wa kusocialize. Ni demu mzuri sana na kilichonisibu niamini kweli ni Prisca niliweza kupata username yake ya IG na nikaona picha za Dada yake na mdogo wake wamefanana sana. Kuna baadhi ya Picha zake nyingi kazipigia upepo garden na niliamini kweli ni yeye. Na picha nyingi kapost na huyo mdogo wake anaitwa VIVI sijui ninesahau jina lake aliandika ni wanafanana sana.

Insider alisema Code ya Prisca ipo open na aiyenipa hizi taarifa ni graduate wa LLB mwakahuu. Waliomaliza mwakahuu sheria wakisoma hii story watamjua Prisca kiurahisi sana. Kama kweli yule ni Prisca nampa nyota Jamaa amekojolea pazuri sana.
Hatukatai kuwa ni true story, isipokuwa ni kwamba mwandishi kajaza chumvi nyingi Kama alivyosema nziriye kwa lengo la kunogesha story (kutokana na influence za wasomaji) pamoja na kuficha codes za wahusika.
 
Chumvi kama zipi?

Utuambie sehemu fulani ile ni chumvi sio kweli na utuambie ukweli ni nini. Hii story ingekuja katika mfumo ambao jamaa anateseka na maisha mwanzo mwisho msingesema chumvi wala chai.
 
EXTRA EPISODE-05
BY INSIDER MAN

I LOVING MEMORY OF MR. PAMA
[emoji2731]

Mimi na marehemu Pama tulikuwa na moments nyingi sana unforgettable na mzee alitokea kunipenda na kunikubali sana. Sometimes nikiingia SAMAKISAMAKI huwa namkumbuka sana mzee wangu, mzee alikuwa na Roho nzuri sana na nitaendelea kumuishi daima.

Mzee Pama alitokea kunikubali na kunipenda kutokana na uaminifu niliokuwa nauonesha kwake ipo hivi,

31/12/2021 nilimpeleka Mzee na Jane Bagamoyo na walienda kwaajili ya starehe zao na baada ya mwaka mpya nilikwenda kuwafata, walitumia siku 2 kule Bagamoyo (REF: EPISODE 06)

Baada ya kurudi kutoka Bagamoyo wiki hiihii ilikuwa ni weekend siku ya ijumaa Mzee Pama alisafiri kwenda abroad na mimi ndo nilimpeleka Airport.

February Mzee alirudi kutoka nje na kabla hajarudi alinipa taarifa kwa whatsapp nikampokee Airport na ataingia jumatano usiku sana na mimi ndo anayeniamini, na kuhusu masuala ya pesa alisema niondoe shaka.

Wakati Mzee ananipa taarifa ilikuwa ni Jumanne sasa ile kesho yake ambayo ni jumatano ule mchana mzee alinitumia ujumbe na akanambia anatarajia kuingia saa 6 usiku hivyo niwe around na mimi nilimwambia haina shida nitakuwa around muda huo.

Hii siku nilipiga kazi mpaka usiku na ilivyofika saa 4 usiku nilikwenda JNIA kumpokea Mzee na niliwahi sana kufika maeneo yale na nilitoka kwa gari nikaenda ndani Arrival side nikachili, kwa upande wangu nilikuwa na usingizi sana hivyo nilikuwa nasinzia kwenye mabenchi mle ndani.

Saa 6 baada ya kufika hakukuwa na sign yoyote ya kuwasili na nikakumbuka Mzee alisema anakuja na Qatar Airways acha nifatilie ndege kama imefika au laah, lakini niliambiwa itachelewa kuwasili JNIA mpaka saa 8 usiku. Hizi taarifa zilininyong’onyeza sana kwakweli na niliendelea kubuy time na niliamua kutoka pale nje kabisa nikakaa kwenye kiukuta.

Mzee aliwasili saa 8 usiku na alitoka akiwa ameshika kibaiskeli kikiwa na mabag na mimi baada ya kumuona nilimsogelea nikampokea kibaiskeli na tukasalimiana pale na tukaondoka kwenda parking. Mimi nilifungua boneti nikaweka mabag na Mzee akanambia tunakwenda Serena Hotel kwani mchepuko wake (Jane) uko pale unamsubiri.

Mzee alikaa siti za nyuma na mimi nikawasha gari tukaanza safari ya kwenda Serena hotel, hii siku hatukuwa na story sana maana Mzee alionesha kuchoka sana na mimi sikutaka kumsumbua, hata wakati tunafika Serena pale alikuwa bado kalala na nilifanya kumuamsha.

Nilikuwa wakwanza kushuka kwa gari na mhudumu alikuwa kasogea kutupokea na nilianza kutoa mabag ya kule nyuma na baada ya kumaliza nilifunga butt. Mzee naye alitoka na akanipa $100 alisema hana TZS hivyo nitafanya ku-exchange mwenyewe na tukaagana pale, lakini alisema anatanijulisha ili nikamchukue.

Mimi nilirudi home kulala maana ilikuwa ni usiku sana pia nilikuwa na usingizi na nilivyowasili home niliingia ndani nikalala.

Asubuhi nilichelewa kuamka na ilikuwa kamaa mida ya saa 5 na nikasema acha nisafishe gari ili niondoke kwenda mzigoni. Wakati natoa kapeti za gari nilianza na za mbele kwanza na wakati natoa za nyuma niliiona briefcase [emoji161] ipo kwa chini kama imeanguka, niliichukua na nikaanza kuifungua na uzuri haikuwa ile ya kupachika tu haina code.

Baada ya kufungua si nikaona burungutu za pesa na zilikuwa ni noti za Euro €100. Nilitetemeka pale nikajisemea “Mungu wangu” mbona kama zali hili maana sikutegemea kama ningekuta hela nyingi mle kwa bag. Palepale nikasema hili ni bag la Pama na hii ni trap haiwezekani mtu asahau bag lenye pesa kama hili na pembeni kulikuwa na bahasha ambayo sikutaka hata kuigusa.

Niliwaza hizi pesa ni nyingi naweza kukimbia na familia yangu lakini pia nikawaza hata nikikimbia na hizi pesa nitaishia wapi?, niliwaza Mzee Pama sio mtu mdogo kunipata ni sekunde na palepale niliamua kumpigia simu lakini ikawa haipatikani.

Niliingia kuoga na kujiandaa na baada ya kumaliza nilimpigia tena Mzee simu lakini alikuwa hapatikani na nikajisemea hapa inabidi niende hotelini kuonana naye, maana nilikuwa na bomu hata mimi niliogopa nisije kuvamiwa ikawa msala.

Wakati niko mataa ya mwenge Mzee simu yake ilikuwa hewani na baada ya kumpigia alipokea na tukaanza maongezi

“Mzee shikamoo pole na uchovu.”

“Ahsante sana kijana safari ilikuwa ndefu sana.”

“Sasa Mzee kuna bag utakuwa ulisahau kwenye gari yangu?”

“Hapana maana nakumbuka tulitoa kila kitu.”

Nikabaki najiuliza mbona mzee anakataa hili bag litakuwa la nani?, nikakumbuka kuna baba nilimpakia huenda ni lake lakini nikawa bado namashaka maana kama ni lake angekuwa alinipigia simu toka muda sana kutoa taarifa.

Baada ya dakika 3 Mzee alipiga simu na akanambia halioni bag la brown na lina nyalaka zake tena za muhimu sana, na mimi nikamwambia bag lake ninalo na niko njiani namplekea. Kwa upande wake Mzee alifurahi sana na akanambia nikifika niende moja kwa moja restaurant niagize na chakula atanikuta hapo.

Baada ya kuwasili pale Serena nilipark gari vizuri nikampa taarifa Mzee na nilikwenda moja kwa moja mpaka restaurant nikaagiza chakula maana ilikuwa saa 7 mchana tayari.

Baada ya dakika 20 Mzee alitoka na alinikuta napata msosi pale na tulianza maongezi, kubwa alifurahi sana kwa uaminifu wangu na hakutegemea kama ningefanya kitendo cha kiungwana kama kile.

“Kijana kwakweli sijategemea kama una uaminifu mkubwa wa namna hii, licha ya kutopatikana kwa simu lakini uliamua uje kuniuliza, kwa hili niseme kuanzia leo wewe utakuwa kijana wangu. Nilikuwa sina kumbukumbu kabisa kama nimesahu bag kwa gari, nilikuwa nimechoka sana jana.”

Mzee alinambia zile pesa jumla zilikuwa ni zaidi ya Euro €150,000 na mle ndani kuna madini ya almas na dhahabu so kama ningekimbia na bag ningekuwa bilionea. Licha ya hivyo bado kulikuwa na contracts mbalimbali za biashara afu confidential na sensitive sana.

Mzee alinambia nimtumie Account yangu ya bank ili anitumie Ahsante yake na mimi nilimkatalia, lakini alinisisitiza sana nifanye hivyo na nilimtumia Account number yangu.

Tuliendelea kupiga story na Mzee kwa muda mrefu na alinambia yuko na Jane pale hotelini na nilimuaga mimi nikaondoka nikaendelea na mihangaiko yangu.

Toka hili tukio litokee Mzee alikuwa rafiki yangu sana na upendo wake uliongezeka sana kwangu na bado alikuwa ananichukulia mimi kama kijana wake. Ndomana alianza kunitumia kwenye masuala ya ujenzi na mengine mengi ambayo sikutaka kuyaandika, na baada ya kusimamia nyumba Mzee alianza kunipa siri zake taratibu lakini haikuchukua muda akafariki.

Mzee alinipa zawadi ya pesa nyingi tu na ndo zilizonisaidia nikaanza na ujenzi Dodoma. Pesa ya mzee ndo ilinipa nguvu ya kuanza ujenzi maana sikuona sehemu ya kuipeleka ile pesa zaidi ya kufanya ujenzi.

Mzee Pama nitaendelea kumkumbuka sana kwenye maisha yangu naamini ndani ya miaka 10 nitakuwa Billionaire hapa Tanzania, Mzee alikuwa na pesa chafu na alinipa ideas nyingi za kufanikiwa na kuwa Tajiri hapa Duniani hizi ideas zitabaki kuwa siri yangu mpaka nizikamilishe. Naamini nitakuwa billionaire na nitamuenzi kwa hili. [emoji120]

R.I.P MR. PAMA, Ipo siku tutakutana tena.

Pray everyday not just when you in need of something. [emoji3590] [emoji1659]
.
 
Hivi kiwango cha mwisho cha kusafiri nacho kwenye ndege ni kiasi cha shilingi ngapi?? R.i.p Mr Pama alikuwa anajilipua kusafiri na zaidi ya Milioni 400 mkononi aiseee
 
No limit exists on how much money you can carry on a domestic or international flight. However, if you're travelling internationally, you should also be aware of the regulations in the country you're travelling to. Some countries may restrict the amount of money you can bring into the country.
 
Nope, there is a limit, be it local or international flight. The restriction is worldwide
 
Hujataka tu na wewe kuwa na gari, humu hatukubaliani na hili yani kuwe na member humu halafu hana gari!!! Wakati wengine tuna magari zaidi ya mawili, mademu wa kali na tunakula mbususu wastani wa masaa mawili bila kushuka kifuani mpka mbususu inatukumbusha enzi za Ulindi na Ulimbombo.
Wote tunaishi Masaki na Mbezi ila ukileta stori za uswahilini tunajua kila kitu kuanzia stori za kina Sele mpaka Mwajuma ndala ndefu
Mimi nakaa buza kwa rulenge wakuu 🤣🤣🤣
 
USIDANGANYIKE, In Economics kuna eneo nilisomaga miaka zaidi ya 17 iliyopita nikiwa Advance inasema kuwa Human Wants/needs are always unlimited, hapa naomba uelewe one of essential want ya Human being ni MONEY.

Nathibitisha kuwa Mtunzi anayo shida ya pesa ndio maana:-

1.Alipotoa katika ajira yake kwenye Taasisi ya Mapato aliamua kutafuta Pesa kwa kujiajiri

2.Aliamua kufanya Biashara ya Uber ili apate pesa kwa ajiri yake na Familia

3.Ameajiriwa kama Meneja katika Glam. Saloon ili apate pesa

4.Bado anakula maokoto ya Irene

5.Mzee Pama (RIP) inasimuliwa alikuwa anatoa pesa

6.Akaibuka Mzee Juma akiendeleza mrija wa kutoa pesa kwa Mtunzi.

7.Hapo nimemsahau Muhabeshinaye alikuwa anamwaga hela kama Kichaa, kitu cha ajabu kabisa ukikiangalia kwa jicho kali

8.Bado kuna wateja wengine wa rejareja waliokuwa wanatoa nauli hadi TIPs kwa Dereva wetu.

9....still tulikuwa tunaokota pesa za miradi mingine

Hivyo, unaposema Mtunzi hana shida ya pesa sijui una maanisha nini?

Nb. MIMI NIMESHAURI KIROHO SAFI, JAMAA ALIANZA VIZURI TRUE STORY YAKE WHICH WAS GOOD, ILA IN BETWEEN AMEZIDISHA CHUMVI MNO, NA KWA SISI AMBAO NI VIHEREHERE WA KUSOMA STORY NA KUTOA MAONI TUMEONA A LOT OF CHUMVI IN HIS STORY, SO TUMEMSHAURI NEXT TIME AFUATE NYAYO ZA KINA HABIBU ANGA, FORTUNATUS BUYOBE AZIDI KUJIONGEZEA KIPATO, REMEMBER KWA DUNIA YA SASA THERE IS NO FREE LUNCH.

TAKE IT OR LEAVE IT ASIDE.
Kila mtu anataka hela ila kila mtu ana level zake. Huwez kuwa unaingiza milion 5 kwa siku kwa mfano halafu ukaangaika na elfu 30 nk. Ndio maana unaweza kukuta kuna kazi naweza kufanya ila nampa mtu kwasababu nagawa riziki kwa wengine.
 
No limit exists on how much money you can carry on a domestic or international flight. However, if you're travelling internationally, you should also be aware of the regulations in the country you're travelling to. Some countries may restrict the amount of money you can bring into the country.
There is the limit mkuu, iwe domestically au internationally ingawa kila nchi ndio ina kiwango chake cha pesa unazoweza safiri nazo na kama zitazidi kiwango ni lazima utoe taarifa kwa mamlaka husika.
 
TZS 24m au $10,000 or equivalent, kwa sasa. Beyond that you declare extra amount and you will be grilled like a thieve
Sasa how come mtu asafiri na zaidi ya Millioni 400 kuingia Tanzania while kiwango ni 24M zaidi ya hapo utaonekana ni mtakatishaji fedha?? If ni special case let say alitoa taarifa kwa mamlaka husika bado unaweza sahau kiwango kama hicho kwenye uber?? Anyways i was thinking out the box [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Hii story ina uhalisia mkubwa sana,
Prisca amemaliza chuo mwaka huu LLB- UDSM na nikweli wamefanana na dada yake Mary, Nimeweza kuyajua majina yao halisi ila kwa heshima ya INSIDER nitabaki nayo kama siri. Prisca amepanga Changanyikeni karibu na kwa mama Ndalichako, kwao halisi ni Mbezi Beach nyuma ya sheli ya Oryx kama unakwenda Upepo Garden ndo kwao, kule sijui shopperz ni Code ilitumika tu.

Prisca rafiki yake wa chuo ni mmoja tu ndo huyo Eva na ni mtu ambaye yuko kivyakevyake sio wa kusocialize. Ni demu mzuri sana na kilichonisibu niamini kweli ni Prisca niliweza kupata username yake ya IG na nikaona picha za Dada yake na mdogo wake wamefanana sana. Kuna baadhi ya Picha zake nyingi kazipigia upepo garden na niliamini kweli ni yeye. Na picha nyingi kapost na huyo mdogo wake anaitwa VIVI sijui ninesahau jina lake aliandika ni wanafanana sana.

Insider alisema Code ya Prisca ipo open na aiyenipa hizi taarifa ni graduate wa LLB mwakahuu. Waliomaliza mwakahuu sheria wakisoma hii story watamjua Prisca kiurahisi sana. Kama kweli yule ni Prisca nampa nyota Jamaa amekojolea pazuri sana.
Chai
 
Sasa how come mtu asafiri na zaidi ya Millioni 400 kuingia Tanzania while kiwango ni 24M zaidi ya hapo utaonekana ni mtakatishaji fedha?? If ni special case let say alitoa taarifa kwa mamlaka husika bado unaweza sahau kiwango kama hicho kwenye uber?? Anyways i was thinking out the box [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]

Mkuu hizo 400m ni sawa na €150k ambazo ukigawanya kwa €100 ni sawa na noti 1500 ambazo ukizipanga kwa bunda zenye noti 100 ni sawa na bunda 15, zinabebeka vizuri kabisa.

Pama alikuwa anafanya biashara kuwa na hiko kiasi ni kawaidasana, kwa TZS unaona ni pesa nyingi sana ila ukipeleka kwa Euro ni pesa ndogo sana.

Kusahau ni kawaida mzee inadepend na mtu yuko kwenye hali gani au uchovu kiasi gani, kwa mtu kama Pama unakuta hio ni pesa ya matumizi tu. Ukiangalia Pesa anazo kwake yeye haoni kama anapesa,

Kitu kingine ukiwa na mtu unayemwamini kujiachia ni kawaida sana huwezi kuwa na mawazo, unajikuta upo sehemu salama
 
Back
Top Bottom