Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

itoshe tu kusema kuwa, we ni kiazi, tena kiazi mbatata
 
kiazi mwingine huyu hapa.
 
itoshe tu kusema kuwa, we ni kiazi, tena kiazi mbatata

Jifunze vitu kama hujui na sheria za customs zikoje huatia aibu tena. Unavamia mtumbwi wa vibwengo kwa kushindwa kuelewa mambo na vitu vidogo kama hivi [emoji706]

Ukishindwa kuelewa na hapa hicho kichwa kafugie meno na nywele tu,

Siku nyingine usikimbilie kujibu kitu usichokijua unatia aibu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee alinambia zile pesa jumla zilikuwa ni zaidi ya Euro €150,000
Nilidhani kuna limit ya kiasi cha pesa cash unachoweza safiri nacho ambapo kwa USD ni 10,000. Huyo mzee aliwezaje kusafiri na kiasi kikubwa hivyo.

Anyways inawezekana sababu ni mtu mkubwa.
 
Nilidhani kuna limit ya kiasi cha pesa cash unachoweza safiri nacho ambapo kwa USD ni 10,000. Huyo mzee aliwezaje kusafiri na kiasi kikubwa hivyo.

Anyways inawezekana sababu ni mtu mkubwa.

Ukiwa na kiasi kikubwa cha Pesa unatakiwa kudeclare pamoja na kuonesha source ya income ya hizo pesa. Below $10,000 hakuna shida ila ikizidi hapo lazima ufanye declaration Airport unakotoka.

Hata wewe ukitaka kusafiri kwenda nje na 100M unaruhusiwa ila ufanye declaration tu. Kingine utambue sheria za huko unakokwenda.
 
Inawezekana mkuu. Kweli tupambane sana kutafuta pesa aisee..... mzee alisahau zaidi ya milioni 400 anaulizwa bado kasahau kama alisahau hela. Hela tamu sana nyie hongera zake insider hata kuwa na circle ya watu wazito
 
we ni kiazi, uongo?

Haya mambo tunayafanya daily kama hujui omba upewe elimu kuhusu hilo suala

Ngoja nikupe elimu ndugu yangu ili siku nyingine usitie aibu,

Kama unasafiri kwenda nje lets say una madini unakwenda nayo nje, inatakiwa uwe na vibali na unatambulika na mamlaka husika, hapa ndo utaruhusiwa kuondoka navyo, nje na hapo utazuiwa. Ndomana Airport kuna watu wa madini, TRA-customs nknk hizi ndo kazi zao kama madini hujalipa kodi utapaswa kulipia kwanza ndo uondoke nayo.

Suala la Pesa unaruhusiwa kutembea na kiasi cha pesa chochote unachotaka wewe lakini kama Pesa ni zaidi ya $10,000 unatakiwa kufanya Declaration. Kama umetoa bank utawapa hata risiti au bank statement ili wakague unaweza ulizwa source ya income ya hizo pesa. Ukishindwa kutolea au kuwa na maelezo ya kueleweka utaambiwa money loundering utaratibu mwingine utafata.

Kwa Tanzania hii inafanyika unavyotoka au kuingia,
“Currency Declaration is both parts either Entry or Exit. From US Embassay Tanzania”

Ukishindwa kuelewa na hapa bhasi tena. Kama unaswali uliza nikujibu.
 
Inawezekana mkuu. Kweli tupambane sana kutafuta pesa aisee..... mzee alisahau zaidi ya milioni 400 anaulizwa bado kasahau kama alisahau hela. Hela tamu sana nyie hongera zake insider hata kuwa na circle ya watu wazito

Mzee kaingia saa 8 usiku, kafika hotelin kakutana na mbususu ya Jane hapo kachoka hata hapatikani kwa simu. Hajaamka vizuri anakutana na simu ya Insider yeye akili inamwambia bag zote alikuwa nazo. Baada ya kucheki ndo anaona kuna bag inamiss inawezekana kabisa mkuu,

Wakati sina hela nilikuwa nakumbuka hata sh.50 nilikoweka, lakini baada ya Mungu kunijalia vicent nimekuwa msaulifu sana wa hela. Naweza vaa jeans nikaingiza mfukoni nikakutana na elfu 10, elfu 5 ni kawaida sana kwasasa na ninakuwa sikumbuki kabisa kama niliweka pesa.

Tutafute hela kwa bidii,
 
Kiazi

N

Kiazi ni wewe na waliokuzaa boya wewe unaelimishwa hutaki kuelimika halafu unaishia kuwadharau wenzako
Mkuu kiazi hawezi kunielimisha, wewe pia ni kiazi, rudia kusoma comment yako, utaelewa kuwa we ni kiazi, na usipoelewa we ni kiazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…