granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Elimu gani, we kiazi bado upo na mm? hujui kudharauliwa?Nishukuru mimi kwa kukupa Elimu naamini itakusaidia siku nyingine. Mjadala wangu na wewe naufunga hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu gani, we kiazi bado upo na mm? hujui kudharauliwa?Nishukuru mimi kwa kukupa Elimu naamini itakusaidia siku nyingine. Mjadala wangu na wewe naufunga hapa.
Haya maisha bwana, kuna miaka kadhaa nyuma nilikuwa ninaweza kusahau hata Tsh 60,000 kwenye suruali chafu, ila siku hizi sasa, sikumbuki ni siku gani nilisahau hata buku kwenye nguo ya kuvaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mzee kaingia saa 8 usiku, kafika hotelin kakutana na mbususu ya Jane hapo kachoka hata hapatikani kwa simu. Hajaamka vizuri anakutana na simu ya Insider yeye akili inamwambia bag zote alikuwa nazo. Baada ya kucheki ndo anaona kuna bag inamiss inawezekana kabisa mkuu,
Wakati sina hela nilikuwa nakumbuka hata sh.50 nilikoweka, lakini baada ya Mungu kunijalia vicent nimekuwa msaulifu sana wa hela. Naweza vaa jeans nikaingiza mfukoni nikakutana na elfu 10, elfu 5 ni kawaida sana kwasasa na ninakuwa sikumbuki kabisa kama niliweka pesa.
Tutafute hela kwa bidii,
Haipo mpaka wiki ijayoLeo ni tarehe 01/11 saa 22.00 tunakusubili @ INSIDE MAN
Elimu gani, we kiazi bado upo na mm? hujui kudharauliwa?
Haya maisha bwana, kuna miaka kadhaa nyuma nilikuwa ninaweza kusahau hata Tsh 60,000 kwenye suruali chafu, ila siku hizi sasa, sikumbuki ni siku gani nilisahau hata buku kwenye nguo ya kuvaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nii adjeee mzeeINSIDER MAN hapa ndo tunaposema hii true story yako ni chai, mtu anasafiri toka abroad na € 150,000 cash na dhahabu na almas sijui, mkuu hyo kitu ni ngumu sana (simply haiwezekani/hairuhusiwi), alipitapitaja huko alikotoka na hela nyingi kiasi hicho, na kwa akili yako kweli unadhani hatujui kwamba mtu huwezi safiri na cash kubwa kiasi hcho, unatuona viazi siyo, basi poa
Hahahaha JF never boringVijana naona arosto imekua kubwa hadi mnaanza kugombana na uro za marehem mzee pama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] oya insider tibu vijana utawaua
Analyse naye yupo kuandaa storyHuyu INSIDER MAN badala ya kuacha watu wanalumbana angemaliza tu hii simulizi yake ili tuendelee na simulizi zingine za kubuni kama za kina singanojr
Tulia acha arostoLeo hata mimi naanza kumind. Oyaa ulisemaga utapandisha episod la 70 leo saa 22:00 mpaka now ni saa 22:20 kweupe. Acha miyeyusho
Leo anafeliTulia acha arosto