Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mzee kaingia saa 8 usiku, kafika hotelin kakutana na mbususu ya Jane hapo kachoka hata hapatikani kwa simu. Hajaamka vizuri anakutana na simu ya Insider yeye akili inamwambia bag zote alikuwa nazo. Baada ya kucheki ndo anaona kuna bag inamiss inawezekana kabisa mkuu,

Wakati sina hela nilikuwa nakumbuka hata sh.50 nilikoweka, lakini baada ya Mungu kunijalia vicent nimekuwa msaulifu sana wa hela. Naweza vaa jeans nikaingiza mfukoni nikakutana na elfu 10, elfu 5 ni kawaida sana kwasasa na ninakuwa sikumbuki kabisa kama niliweka pesa.

Tutafute hela kwa bidii,
Haya maisha bwana, kuna miaka kadhaa nyuma nilikuwa ninaweza kusahau hata Tsh 60,000 kwenye suruali chafu, ila siku hizi sasa, sikumbuki ni siku gani nilisahau hata buku kwenye nguo ya kuvaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Elimu gani, we kiazi bado upo na mm? hujui kudharauliwa?

Hapo ulipo AIBU ZIMEKUJAA INSIDER MAN hiki kichwa ni Smart sana toka muda huwa nawaona mnatafuta sehemu ya kumnanga lakini mnaambulia AIBU.

Huna exposure ya maisha bado kuendelea ku argue na mjinga kama wewe napoteza muda tu.

Mkiendelea kuleta ufedhuli wenu nitakuwa nawagonga SPANA.
 
Haya maisha bwana, kuna miaka kadhaa nyuma nilikuwa ninaweza kusahau hata Tsh 60,000 kwenye suruali chafu, ila siku hizi sasa, sikumbuki ni siku gani nilisahau hata buku kwenye nguo ya kuvaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ukiwa na hela hizi buku 5 kama una mke atakuwa anakutana nazo kama kamisheni[emoji23][emoji23], fulia sasa hata 100 kwa konda unadai dadeki
 
INSIDER MAN hapa ndo tunaposema hii true story yako ni chai, mtu anasafiri toka abroad na € 150,000 cash na dhahabu na almas sijui, mkuu hyo kitu ni ngumu sana (simply haiwezekani/hairuhusiwi), alipitapitaja huko alikotoka na hela nyingi kiasi hicho, na kwa akili yako kweli unadhani hatujui kwamba mtu huwezi safiri na cash kubwa kiasi hcho, unatuona viazi siyo, basi poa
Nii adjeee mzee
 
Back
Top Bottom