YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,031
- 1,940
Ikiruka mniweke kofi nzinduke
Hii ni ishara kuwa unakinja jeans unaweka kabatini ikipita week unatinga tena😬😬😬😬😬Mzee kaingia saa 8 usiku, kafika hotelin kakutana na mbususu ya Jane hapo kachoka hata hapatikani kwa simu. Hajaamka vizuri anakutana na simu ya Insider yeye akili inamwambia bag zote alikuwa nazo. Baada ya kucheki ndo anaona kuna bag inamiss inawezekana kabisa mkuu,
Wakati sina hela nilikuwa nakumbuka hata sh.50 nilikoweka, lakini baada ya Mungu kunijalia vicent nimekuwa msaulifu sana wa hela. Naweza vaa jeans nikaingiza mfukoni nikakutana na elfu 10, elfu 5 ni kawaida sana kwasasa na ninakuwa sikumbuki kabisa kama niliweka pesa.
Tutafute hela kwa bidii,
Ukiwa na account - International bank.
Kuna sehemu BROKE BOYS kaeleza vizuri. Na ndio utaratibu ulivyo. Kuna kiwango cha pesa huulizwi kusafiri nacho ila kiwango kinachozidi lazima kiwe na maelezo kuzuia utakatishaji wa fedha. Hii ni kutia ndani kiwango cha pesa kichotumwa au kuingia kupitia Bank toka nje ya nchi.BROKE BOYS we endelea kubwabwaja ila napenda tu kusisitiza kuwa we ni kiazi mbatata
Mbona unamaindi kwa ishu ambazo hazina faida hata kwa Wanao. Kumaindi madini mbuga gesi bandari tanesco kusuasua huwezi. Ila Africa kwa anasa ,miziki na ngono tumebarikiwa, we need to recolonizeLeo hata mimi naanza kumind. Oyaa ulisemaga utapandisha episod la 70 leo saa 22:00 mpaka now ni saa 22:20 kweupe. Acha miyeyusho
Ahsante kwa ufafanuzi🙏Ukiwa na kiasi kikubwa cha Pesa unatakiwa kudeclare pamoja na kuonesha source ya income ya hizo pesa. Below $10,000 hakuna shida ila ikizidi hapo lazima ufanye declaration Airport unakotoka.
Hata wewe ukitaka kusafiri kwenda nje na 100M unaruhusiwa ila ufanye declaration tu. Kingine utambue sheria za huko unakokwenda.
Nani aliwajaza huu ujinga kwamba ndoa ya bomani sio ndoa???Tena sio cheti km cheti tu,wasije kujipeleka Bomani kwa ndoa ya kiserikali ati ili wapate cheti,nashauri wamalizane na Mungu kwa kufunga ndoa kwa misingi ya imani zao.
Mbona Ni ndoa ,Ina babu wa babu yangu alivyooa kabla ya ujio huu wa wakoloni kuwa sio ndoa,Kuna ya kimila,kanisani, serikalini,pote hapo unapata cheti inategemea wewe tu. Yaani wewe na ujinga wako ukaamisnhwa vya wenye ngozi za nguruwe ndio zinafaaNani aliwajaza huu ujinga kwamba ndoa ya bomani sio ndoa???
Na wewe pita zako kulee. Hili jukwaa la nini..? Na uzi unahusu nini..? Nyie mafantazz mnaojifanya mnajua maswala ya tanesco na gesi nk afu kumbe hamna kitu mbulula tu. Nenda jukwaa husika utakutana na hizo mada. Stress zako usiwasukumie watu wasio husika. Madini, gesi tanesco kwani ndizo zinanilisha mm na familia yangu...? Maisha hayataki kuparamia mambo utazidisha msongo wa mawazo mkuu. Jitahidi kutokuvamia comment zawatu tena zikiwa jukwaa husika na kama una usongo saana na madini, gesi tanesco nk jitokeze hadharani mpaka bungeni ukawaulize wale wenye mamkala sio unatusumbua watu tusio na mamlaka hapa. Potelea mbali na ujuaji wako wa kikuda.Mbona unamaindi kwa ishu ambazo hazina faida hata kwa Wanao. Kumaindi madini mbuga gesi bandari tanesco kusuasua huwezi. Ila Africa kwa anasa ,miziki na ngono tumebarikiwa, we need to recolonize
It's natural mechanism of brain to expell the pain. The brain having a certain beliefs once is attacked it's nuclear warNa wewe pita zako kulee. Hili jukwaa la nini..? Na uzi unahusu nini..? Nyie mafantazz mnaojifanya mnajua maswala ya tanesco na gesi nk afu kumbe hamna kitu mbulula tu. Nenda jukwaa husika utakutana na hizo mada. Stress zako usiwasukumie watu wasio husika. Madiki, gesi tanesco kwani ndizo zinanilisha mm na familia yangu...? Maisha hayataki kuparamia mambo utazidisha msongo wa mawazo mkuu. Jitahidi kutokuvamia comment zawatu tena zikiwa jukwaa husika na kama una usongo saana na madini, gesi tanesco nk jitokeze hadharani mpaka bungeni ukawaulize wale wenye mamkala sio unatusumbua watu tusio na mamlaka hapa. Potelea mbali na ujuaji wako wa kikuda.
Tukutane kileleni kamanda
Huna akili na punguza kudandia dandia vitu kwa mbele bila kuelewa.... fatilia niliyemquote ndo uanze kujiongelesha.Mbona Ni ndoa ,Ina babu wa babu yangu alivyooa kabla ya ujio huu wa wakoloni kuwa sio ndoa,Kuna ya kimila,kanisani, serikalini,pote hapo unapata cheti inategemea wewe tu. Yaani wewe na ujinga wako ukaamisnhwa vya wenye ngozi za nguruwe ndio zinafaa