You can capitalize on human ignorance.
You can capitalize on human hungry.
You can capitalize on human pleasure.
You can capitalize on human pains.
You can capitalize on human laziness.
You can capitalize on Human pleasure hapa ndipo kuliko na hela na binadamu yupo willing kulipa hela kubwa na nyingi ili tu apate Raha yaani bana ukiweza kumpatia binadamu Raha utapata hela.
You can capitalize on human Ego yaani anataka kuonekana mjanja,mwerevu,aonekane yeye Ni Bora ,Yuko juu,ndiye mwenye hela kuzidi wote,spouse mzuri kuzidi wote,amevaa vizuri kijanja kuzidi wote,ana watt wenye akili kuzidi wa wengine,hapa makampuni mengi mno yanatengeneza hela kwa ajili ya region ya brain katika amygdala.
You can capitalize on human diseases
You can capitalize on human fear of death hapa religion and sangoma wanapiga hela pia
You can capitalize on human fear of tomorrow and uncertainties hapa bado religions and sangoma wanapiga hela.
Yaani binadamu alipo ndiye Anazo hela ishu unampatia Nini in exchange yaani afurahi ama umtatulie shida zake ,mfano binadamu Yuko radhu anywe soda,Azam cola, mo energy,azam energy,Jambo energy,sayona energy,,Ceres,mango juisi ya Azam,mo,sayona, biskuti,apple punch,chipsi etc yaani ili tu ajisikie Raha ama asikie utamu mdomoni kuliko kunywa juisi ya kusagwa ya tangawizi kwa mkono ama kwa blenda ambayo Ni chungu mdomoni Ila Ina faida mno mwili ama Ni Nani Yuko radhi kunywa juisi ya kitunguu swaumu Cha sokoni?
Hapa ubongo utatafuta sababu aka narration to justify why anywe mo energy na sio garlic juisi,hapa utasikia ubongo unakuambia kwani hutokufa ,ndio iweje,shida zote za Nini Sasa ndio unataka miaka buku ili ugundue Nini yaani Basi tu moyo wako uwe na sababu ama uwe satisfied ama comfortable na maamuzi yako unayoyafanya, na ndio Mana hata mwizi anatafuta reasons za ku justify wizi wake Mara tunaenda kuwapunguzia waliozishiwa na Muumbaji pesa,anayechepuka naye anatafuta reasons.
Sasa ukitaka ugomvi naye just criticise his/her judgments/beliefs.
Am really enjoying human brain ulivyo
Mtu akifanikisha from zero utamsikia yaani nilipambana ,sikusoma,Sina konekesheni ,sijashikwa mkono Ila Leo hii hapa naajiri wasomi Ila akiwa hajatoboa utasikia ubongo huo huo unaongea sijasoma,Sina mbuyu ama was kunishika mkono Mara home sie masikini wengine wanapewa mtaji yaani ili awe tu comfortable na Ile Hali yake ili imani ama hisia zake ziikubali Ile Hali.
Mwingine akifanikisha anajisifia kuwa alikomaa,alilala stendi siku kadhaa hata anodi shwaznega alilala stendi Mana binadamu wote Ni sawa ,alijinyima Ila mwingine akifanikisha utasikia ubongo unaongea bana yule akapata bahati,akashikwa mkono Mara akatumia madawa,waganga ama Freemason,akaiba,ana ndugu yake serikalini Mara zile Mali sio zake zote.
Yaani ubongo wako hauamini Kama mwingine anaweza akafanikisha kwa kuyafanya unayofanya.
Hapa mtu hataki kukubali kuwa fulani aakafanikiwa kwa kuhaso kisa tu Cha EGO ya binadamu Mana utamfanya awe juu yako na kawaida kila binadamu anataka kuwa juu ya mwingine kwa kila kitu so anaumia.
Nadhani mna ushahidi wa kutosha kuwa hapo mwanzo mkiwa Hanna mbele Wala nyuma mlikuwa marafiki na jamaa ama wanandugu Ila baada ya kupiga tu hatua nadhani wakajitenga na nyie wakaanza kuwaambia Mara mnaringa ngoja tuone hizo pesa,Mali,elimu,cheo ,magari,majumba,mademu watawazika ama mtakufa nayo,yaani hapo kunauma mahala so anataka kujifariji pia anataka akufanye na wewe uumie ama u feel guilt uanze kumuomba msamaha na kujitetea Ni sawa Ile mtu anakupigia simu yaani salami Ni kuwa mbona umepotea mno,upo kimya mno yaani yeye ndiye akawa kimya sema Sasa anataka akutupie mzigo katika moyo wake uonekane Kama wewe ndiye uko ivyo .hii Ni manipulation techniques tunafanya naturally,yaan mie ukianza ivyo naenda na wewe mpaka unaomba msamaha.
Nimekuwa kimya kwa Jambo gani tumeongea halafu nikapuuzia.sasa wakati anakuambia hayo maneno unajikuta unajisikia una hatia muda huo huo anakueleza shida zake ama unapigwa mzinga na wewe utatoa ili ku prove kuwa haupo kimya ama haupo bize ama hujapotea ili tu naye afurahi na wewe na uwe na amani kuwa you're altogether with human beings company.
Ni Kama demu ukimwambia mbona unaringa wakati unamtongoza so atapunguza makali na atakupatia k ili asionekane Kama anaringa Ila ilikuwa Ni manipulation techniques.
Samahani kwa uzi mrefu najua angekuwa Ni insider kaandika kuhusu iryn hata ungesoma siku nzima hata mwezi Ila haya ya ukweli hayakupi furaha ama Raha najua ubongo utajisikia vibaya na maumivu,Mana hii Ni knowledge.
Ila wadau Nina story yangu namie nitakuja kuwapa jinsi nilivyopendwa na mtt wa Latino America ,Ni story ya uhakika na ya ukweli nitakuwa natuma picha tukiwa pamoja tukila Bata.
Yaani mtt Ni mkali hata wa insider akasome Mana Yuko naseri ama kindagateni.
Yaani mtt mkali kinyama alitokea Costa Rica,wakati nikisoma rudn university huko Moscow katika mitaa ya mikluho maklaya ,namba ya doma nitawapatia pia.
Yaani Ni mtt mkali kulana mate wazi wazi kwenye metro na tranvai,iyo metro belyaevo na Ile vdx kwenye makumbusho yao ya masuala ya angani walivyoenda.
Kwa wale waliosoma Russia nadhani wanaweza wakampatia code hapa..stay tuned,akimaliza INSIDER man naendelea hapo hapo yaani hii Ni bandika bandua bandugu.
Ngoja kwanza nitawatumia kapicha tukiwa tunakualana mate kwenye mwendokasi ya Moscow. Ila bana nje Kuna bata Ni balaa jiulize why black Americans wapo radhi kuvumilia hates, racism, segregation from public services Ila hawawezi kurudi afrika na huku watapewa ardhi bure waishi yaani Bora Yale manyanyaso na kubaguliwa.
Nje Ni patamu kinyama yaani Basi.
Nitawapa story jinsi demu aluvyokuwa anapenda dozi yaania asubuhi anachapwa ndio anaenda lecture.
Mtt Ni mkali alifanya nikajulikana na washkaji walinionea wivu kinyama yaani unapopata kitu kizuri ujipange kuchukiwa