Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Arostooooooooo kawaacha na arostooooooooooooo aaaahhhh arostooooo [emoji992][emoji992]
 
hizo dini zenyewe hazina vyeti vya ndoa wanaenda kuchukua bomani na leseni yakufumgisha ndoa pia inatoka huko huko bomani. ndoa kufungwa kanisani au msikitini sio agizo la Mungu wala Yesu wala mitume wengine
Ndoa ni makubaliano ya pande mbili za familia kukubaliana vijana wao kuishi pamoja kama mke na mume. Hivyo siku wazazi wa kiumeni wanapoenda kutoa mahali na kukubaliwa upande wa kikeni ile tayari ni ndoa . Na ndio maana mara baada ya tukio familia za pande zote mbili huanza kushirikiana kwenye mambo ya kijamii.

Kupata cheti cha ndoa ni sehemu ya kutii wenye mamlaka(kama ilivyo kwenye Biblia) kwa kuwa wao ndio wanakihitaji ili kuitambua ndoa hiyo kuwa ipo kihali kwa mujibu wa sheria za nchi. Na ndio maana hati za usajili wa ndoa, kuzaliwa, kufa pamoja na ufilisi nafikiri ziko chini ya usajili wa taasisi moja(RITA). Viongozi wa dini wamekasimishwa madaraka ya kutoa vyeti vya ndoa kwa niaba ya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
mwenye mamlaka kamili ni serikali tu hao wengine wanaisaidia serikali over
 
Mwenye mamlaka kamili na cheti cha ndoa nafikiri ndio unachomaanisha na ndicho nilichoandika.
kwa hiyo ndoa ya bomani ni ndoa kamili na inayokubalika hata mbele za Mungu maana mamlaka zote ni yeye ameziweka. DINI NI TAASISI TU KAMA ILIVYO RITA
 
Nikweli mkuu,naimani hii simulizi ya huyu jamaa imefanya tugande hapa lln kumbe kuna simulizii zingine au majukwaa mengine
Attention ina utamu wake acha ndugu yetu ajipakulie minyama. Kila akiscroll anakuta notifications kama buku, burudani kabisa.
 
Back
Top Bottom