the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
[emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu kiazi hawezi kunielimisha, wewe pia ni kiazi, rudia kusoma comment yako, utaelewa kuwa we ni kiazi, na usipoelewa we ni kiazi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu kiazi hawezi kunielimisha, wewe pia ni kiazi, rudia kusoma comment yako, utaelewa kuwa we ni kiazi, na usipoelewa we ni kiazi,
Acha mahaba yaendelee....Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lkn naona na mm limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wkt akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana(marriage) nikiwa nafanyakaz nayeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazin na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labd kw sabb ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na wants. Tuliishi vzr kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzaz wake yaani mkwe aka experience wkt mgumu(code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubw wakaon washirikianr wote. Kwa kuw wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lkn nyumba haijaisha.
kero ikaanz sasa. Kila wkt anataka pesaro ya ujenz kwa mama mkwe. Kumbuk yule ni mzee ile nyumb watakuja kuhombana watoto nikamwambia ujenz hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofsn kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kid uchumi.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana jf wenzangu kumbuk si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada,nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumb watagombea vidume??
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba
Mkifunga za dini nyie inatosha... acheni watu wahalalishe mahusiano yao kwa njia wanayoona sahihi cha msingi cheti, muhimu upendo, familia kusonga mbele na kuchagua watoto wafate msingi wa imani ipi. Hayo mengine watu watajibu kwa Mungu wakifika huko.Hapo kwa Mungu unazini mkuu,si kujazwa ujinga.ni mtazamo tu,sio lazima tulingane mitazamo,ndo maana na dini na madhehebu pia tunatofautiana lkn ktk maisha tunashirikiana.
Ndoa ya dini ina miongozo yake kwa kila dini,na hakuna dini inakubali ndoa ya Bomani that means ukifunga Bomani ni ndoa sahihi kabisa sema tu inatambulika kiserikali na jamii inayokuzunguka ila kwa Mungu unazini mkuu,
Mkeo ana utoto mwingi.... ukishakua na familia yako na watoto juu, kipaumbele cha kwanza ni mwenza wako na wanao, ndo mzazi anafata.Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lkn naona na mm limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wkt akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana(marriage) nikiwa nafanyakaz nayeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazin na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labd kw sabb ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na wants. Tuliishi vzr kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzaz wake yaani mkwe aka experience wkt mgumu(code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubw wakaon washirikianr wote. Kwa kuw wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lkn nyumba haijaisha.
kero ikaanz sasa. Kila wkt anataka pesaro ya ujenz kwa mama mkwe. Kumbuk yule ni mzee ile nyumb watakuja kuhombana watoto nikamwambia ujenz hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofsn kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kid uchumi.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana jf wenzangu kumbuk si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada,nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumb watagombea vidume??
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba
Hapo kwa Mungu unazini mkuu,si kujazwa ujinga.ni mtazamo tu,sio lazima tulingane mitazamo,ndo maana na dini na madhehebu pia tunatofautiana lkn ktk maisha tunashirikiana.
Ndoa ya dini ina miongozo yake kwa kila dini,na hakuna dini inakubali ndoa ya Bomani that means ukifunga Bomani ni ndoa sahihi kabisa sema tu inatambulika kiserikali na jamii inayokuzunguka ila kwa Mungu unazini mkuu,
Hapo kwa Mungu unazini mkuu,si kujazwa ujinga.ni mtazamo tu,sio lazima tulingane mitazamo,ndo maana na dini na madhehebu pia tunatofautiana lkn ktk maisha tunashirikiana.
Ndoa ya dini ina miongozo yake kwa kila dini,na hakuna dini inakubali ndoa ya Bomani that means ukifunga Bomani ni ndoa sahihi kabisa sema tu inatambulika kiserikali na jamii inayokuzunguka ila kwa Mungu unazini mkuu,
Hapo kwa Mungu unazini mkuu,si kujazwa ujinga.ni mtazamo tu,sio lazima tulingane mitazamo,ndo maana na dini na madhehebu pia tunatofautiana lkn ktk maisha tunashirikiana.
Ndoa ya dini ina miongozo yake kwa kila dini,na hakuna dini inakubali ndoa ya Bomani that means ukifunga Bomani ni ndoa sahihi kabisa sema tu inatambulika kiserikali na jamii inayokuzunguka ila kwa Mungu unazini mkuu,
Propaganda tu hizi ndugu...Ndoa ni nini mkuu. Maana najiiulizaga wale watu wazaman mwanzo kabsa walifungishwa ndoa na mchungaji yupi..? Na je nibatili.? Afu nitatoa mtazamo wangu mni sahihishe labda kuna jambo sijalielewa vzr
Kabisa mkuu. Dini ni muhimu zikihimiza upendo kwa wote tutaishi kwa aman na furaha bila kuchukianaPropaganda tu hizi ndugu...
Watu kibao wanakosa kuwa na familia na watu waliowapenda kisa udini.
Ulisomesha mwanamke aliyekuzalia watoto hapo hakuna hasara. Jambo la msingi kumbuka pesa ya mwanamke haipangiwi bajeti ni mpaka aamue mwenyewe. Ukitaka ndoa yako iwe matatani anza kuuliza pesa ya mwanamke.Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lkn naona na mm limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wkt akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana(marriage) nikiwa nafanyakaz nayeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazin na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labd kw sabb ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na wants. Tuliishi vzr kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzaz wake yaani mkwe aka experience wkt mgumu(code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubw wakaon washirikianr wote. Kwa kuw wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lkn nyumba haijaisha.
kero ikaanz sasa. Kila wkt anataka pesaro ya ujenz kwa mama mkwe. Kumbuk yule ni mzee ile nyumb watakuja kuhombana watoto nikamwambia ujenz hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofsn kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kid uchumi.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana jf wenzangu kumbuk si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada,nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumb watagombea vidume??
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba
Ungeiweka tu wazi hapo asisahau kula kitimoto na Castle lite za baridi 6!Ulisomesha mwanamke aliyekuzalia watoto hapo hakuna hasara. Jambo la msingi kumbuka pesa ya mwanamke haipangiwi bajeti ni mpaka aamue mwenyewe. Ukitaka ndoa yako iwe matatani anza kuuliza pesa ya mwanamke.
Mwache afanye anachojua na pesa yake wewe hangaikia mstakabali wa watoto na usijisahau wewe binafsi kujipongeza na kujiburudisha
Wananwake wengi wana akili za kushikiwa. Kuna mama mmoja alijenga nyumba Rombo, mgao ulivyopitishwa wa eneo ikawa kajenga kwenye eneo la kaka yake.Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lkn naona na mm limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wkt akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana(marriage) nikiwa nafanyakaz nayeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazin na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labd kw sabb ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na wants. Tuliishi vzr kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzaz wake yaani mkwe aka experience wkt mgumu(code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubw wakaon washirikianr wote. Kwa kuw wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lkn nyumba haijaisha.
kero ikaanz sasa. Kila wkt anataka pesaro ya ujenz kwa mama mkwe. Kumbuk yule ni mzee ile nyumb watakuja kuhombana watoto nikamwambia ujenz hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofsn kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kid uchumi.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana jf wenzangu kumbuk si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada,nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumb watagombea vidume??
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba
NitarudiEXTRA EPISODE 02
Wakati nimeondoka pale home kwa Uncle sio kwamba niliwakataa mazima hapana bali nilikua nakwenda wasalimia. Sikua na kinyongo nao kabisa sababu hata watoto zao ni marafiki zangu sana. Mnakumbuka niliwaambia wakati natoka pale home niliwaaga nakwenda safari ya kikazi.
Baada ya kupita miezi 3 nilirudi kuwasalimia nilikwenda na mazaga ya kutosha kama zawadi. Sasa siku hiyo sikumkuta Uncle ila alikwepo Aunt tu. Bhasi tuliongea pale ila sikukaa sana na nikamwachia 100,000, mimi nikaondoka.
Mimi nilikua napiga simu kuwasalimia wote, sasa baada ya kwenda na kumpa ile pesa, Aunt alikua ananitafuta ananinasalimia. Japo mimi sikutaka kuweka mazoea sana maana niliona mwisho wa siku nitakua ATM.
Wakati Uncle wangu mambo yake yameanza kuwa mabaya alikua hashindi home na sometimes haachi pesa ya matumizi. Aunt alikua ananitafuta mimi nitamtumia pesa na sometimes alikua anamtumia yule mtoto wake wa mwisho wa kike (huyu dogo tulikua tunapatana sana mpaka sasa). Alikua ananipigia simu ananambia Kaka Insider sina hela ya kutumia shule, bhasi mimi nilikua najua, kama nina 20,30,50k nitatuma.
Jambo lingine ambalo sikulipenda kwa hawa ndugu ni hili, kipindi nimemtia mimba Mama J nilikwenda kwa Uncle ili niongee naye suala la kwenda Ukweni. Lengo langu ilikua nimwambie nataka niishi naye kama mke wangu, lakini huwezi amini nilifika pale kwa Uncle na nilimkuta Aunt seblen. Tuliongea pale nikamwuliza kama Uncle yupo aksema yuko ndani anachezea simu. Nikaomba aniitie kwani nina jambo nataka kuongea naye. Aunt alikwenda kumuita ila hakuweza kutoka, nilikaa karibu 45 mins mtu hatoki, nikaamua kuondoka zangu.
Wakati wa kwenda kupeleka mahali nilikwenda kuwapa taarifa ili kama ndugu zangu wanipe kampani. Nilifika pale kutoa taarifa na uncle alikwepo lakini hakutoka tena chumbani. Hata Aunt sikumwambia kilichonipeleka pale, nikaamua kuondoka na nilihapa sitokanyaga tena pale.
Nilitoka pale nikampigia simu mama kuhusu jambo lililotokea, mama akanambia mwanangu usiwe na wasiwasi, kama umefanya kila jambo na hawataki wewe fanya mambo yako. Mama akanambia hata hivyo huyo sio Uncle yako halisi, angekua ni kaka yangu halisi asingekufanyia hivo.
Ipo hivi Mama yangu mzazi amekua hamjui Mama wala Baba. Mama yake mama (Bibi) alikufa wakati mama ana miezi 3 tu, wakati anakufa alimwachia mtoto (ambaye ni mama yangu) dada yake, ambaye mama yangu alikua anamuita “Mama mkubwa”. Sasa huyo Mama mkubwa ndo aliye mlea mama na alikua na watoto pamoja na huyo Uncle. Uncle alikua kama kaka kwa mama yangu na walikua wote na wamepishana miaka 5.
Sasa upande wa Baba yake Mama ambaye ndio Baba yangu ni kwamba alimtelekeza mtoto tangu mama yake mama afariki (Bibi). Na huyu Babu ni moja ya wanajeshi ambao walikua na vyeo vikubwa jeshini na mama anamjua yule ni Baba yake, lakini mama alisema kama Baba yake anajua alikua na mtoto lakini hakuwai mtafuta bhasi na yeye hawezi mtafuta. Mama alikua ni mtoto pekee kwa mama yake mzazi so hakuwai kuwa na dada wala kaka.
Mama alisoma mpaka darasa la saba na alifaulu kwenda Sekondari lakini hakua na mtu wa kumshika mkono. Baada ya hapo akapata kazi za ndani kwa Mhindi, yule Mhindi akamjaza Mimba mama yangu na huyo mhindi alikua na mke.
Sasa Mama mhindi baada ya kujua ile mimba ni ya mme wake aliamua kumlea na hakua na kinyongo naye. Kwa upande mwingine yule Mhindi alikua anataka kumfanya mama awe kama mke mdogo. Lakini kutokana na mama kuwa na ukaribu sana yule mama Mhindi alikataa katakata. Mzee Mhindi baada ya kuona Mama amemgomea akasema ile mimba hata ilea mpaka amkubalie.
Mama Mhindi akaamua kumtoa mama pale kwake na kumpangia chumba sehemu nyingine ambapo mama alimtafuta dada yake wa kijijini wakawa wanaishi. Mama mhindi ndo alikua analipa kodi pamoja na pesa za kula alikua anatoa. Mama anasema huyu mama Mhindi alikua na roho nzuri sana, mpaka sasa amekua ni Bibi ila mama huwa anakwenda msalimia.
Mama alijifungua mtoto ambaye ndo dada yangu (Rafiku yake na Tyna, alonisaidia Airport). Mama mhindi aliendelea kumuhudumia kwa kila kitu yeye pamoja na mtoto, Mzee mhindi dizaini kama aliwatelekeza.
Wakati mama anakutana na Mzee wangu ambaye ndo Baba yangu mzazi (Mzee Insider). Mzee wangu alimwambia mama atamlea mtoto ila amuhakikishie hata wasiliana tena na wale wahindi. Mama alikubali ndo baba akachukua hayo majukumu so dada alikua akijua Mzee wangu ndo baba yake ila uhalisia ni Mhindi.
Hata mimi nilikuja kujua haya mambo wakati nimemaliza Form 6. Siku ya kujua nilishangaa sana the way mzee alivyokua anamlea kama binti yake. Kweli kabisa ukiangalia mzee na dada walikua hawaendani kabisa maana dada alikua anauhindi flan wa mbali, kuanzia nywele, weupe.
Baada ya dada kukua na kuanza kujitegemea kimaisha ndo alipewa hio taarifa na mzee akamwambia ana haki ya kumjua Baba yake na kudai urithi. Mzee alimwambia kazi ya kumlea na kumsomesha ameikamilisha kilichobaki sasa ni kujua ukweli na aamue mwenyewe kama atamtafuta baba yake au laah ni juu yake.
Licha ya mama kuolewa na mzee wangu lakini Mama mhindi aliendelea kumtafuta mama yangu na aliwaambia watoto zake kwamba wana mdogo wao. Baada ya dada kujua ukweli ndo mama kuwakutanisha na ndugu zake hao Wahindi. Dada yangu alikwenda na kumwona mzee wake ni wamefanana hatari asee, mpaka na ndugu zake ni copyright. Kuna ile kauli inasema damu ni nzito kuliko maji.
Mzee mhindi kwakweli ni tajiri kama Pesa anazo na anamali nyingi sana kuanzia viwanja, nyumba , biashara nknk. Dada yangu mwezi March tulikua tunaongea akanmbia mama amesema nikapambanie nipate sehemu ya Urithi wangu. Japo dada yangu licha ya kutambua yule ni Baba yake lakini anajua alimtelekeza, yeye bado anatambua Mzee wangu ndo Baba yake mlezi aliye mkuza na kumsomesha.
Kuna kaka yake mmoja upande wa mhindi ndo wanapatana na dada ndo amempa ushauri pia apambanie apate urithi maana ni mtoto halali wa mzee. Japo kuna baadhi ya ndugu zake hawampendi dada sababu wanajua dada anataka urithi.
Ndugu zangu mnatoa ushauri upi juu ya hili, dada yangu apambanie urithi wake au apotezee? Mimi binafsi nimemshauri apambanie urithi wake maana Mzee akifa ndo asahau.
Nyie kama wana Jf mnatoa ushauri gani kwa hili suala.
ENDELEA EPISODE 12[emoji116]
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
STORY IMEISHA.... novice writers ni wazuri kuanza ila hawajui kumaliza
HaijaishaSTORY IMEISHA.... novice writers ni wazuri kuanza ila hawajui kumaliza
The actual definition of a 'Novice writer'.....STORY IMEISHA.... novice writers ni wazuri kuanza ila hawajui kumaliza