Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
PRAY FOR INSIDER [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapotea ?PRAY FOR INSIDER [emoji120]
Sio kawaida aisee last activity tarehe 31/10 kama kuna wajumbe wanapajua kwake mtembeleeni asije akawa ana changamoto
Nikweli mkuu,naimani hii simulizi ya huyu jamaa imefanya tugande hapa lln kumbe kuna simulizii zingine au majukwaa mengineHuyu INSIDER MAN badala ya kuacha watu wanalumbana angemaliza tu hii simulizi yake ili tuendelee na simulizi zingine za kubuni kama za kina singanojr
Hahah alinaonekana mwisho wa yeye ku andika jf ni tuesday. Ukute iryn kasoma uzi kamvaa mazimaLabda Muajemi kamteka baada ya kumpiga zile 10M za safari ya Serengeti
Attention ina utamu wake acha ndugu yetu ajipakulie minyama. Kila akiscroll anakuta notifications kama buku, burudani kabisa.Nikweli mkuu,naimani hii simulizi ya huyu jamaa imefanya tugande hapa lln kumbe kuna simulizii zingine au majukwaa mengine
Makasiriko ya nini tena😃Umepoa Uzi kwa wiki hii..
Kaboa kurudi kwa Asmah or so 🤮
Yaani hakupendi hajitambui huyu mleta mada.. nimerudi Leo naona bado.. haya malizia jinsi usivyo na heshima kwa wanawake wewe.. wanawake wote Duniani unakula hao hao bila kukuheshimu Bosi wako..
Uchafu mtupu.. hujiamini haujitambui kwenye mapenzi.. 😅😅😅 nicheke tu..
Malizia ukasome.. kila la kheri na masomo yako
Bado. Leo tarehe 11Kwani tarehe 1 imefika?
Makasiriko ya nini tena😃
Hii ilikuwa based on true story huwezi jua kama ni kwel au la vyote vinavyozungumzwa
Mwandishi sometimes anaandika kutokana na hadhira yake inataka kusikia nini mara zote
Tuendelee kusubiri tarehe 1 bado hazijaishaBado. Leo tarehe 11
😃with all due respect nimependa tu kuchangiaNa mie no msomaji.. lolote naweza sema... Ameboa... Nawe huoni aibu kuandika uliyoandika ..
Nicheke Tu 😅😅😅
Anaumwa nini?