Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Bonge la story usimuliaji Bora kabisa,pia kuuna story flani ilikuwa anasimulia dada flani nayo nzuri pia imepotea siioni ilikuwa inasema kutoka kula kumla kimasihara mpaku badilisha maisha yake?? Msaada mwenye link please.
Nadhani ni yule dada aliyezaa Mapacha
 
I appreciate Mkuu

Thank You🙏
 

Mkuu nashukuru ila kuna mtu anaitwa singanojr anastory moja nzuri sana.
 
Hiyo list Yako ni batili linapokosekana jina la Analyze.....mpee maua yake....

Unamuachaje kwanza Analyse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…