Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu Pamoja sana. I have been with you since day one, A silent follower.
Kudos [emoji122] kwa story kali sana, You are living the life ma man.
Asante sana kwa kuacha mambo yako mengi ya msingi na kuja kutupa a piece of your life, It was worthwhile mkuu.
Mungu akubariki sana asee kwenye hustles zako kamanda. [emoji109]
 
Insider, hongera na pia pole pole kwa uliyoyapitia.

Ushauri wangu kwako. Fanya kila namna usimpoteze Irene wala mama J. You can do it if you want, you're the man. Everything is possible.
INSIDER salut sana kwako brada...!!!Hii simulizi imenilaza sana mida mibovu....
 
Narud
 
Nimegundua insider ni mrangi wa kondoa...kama anabisha aje aseme....nilikuwa pale Kondoa Dc kwa 3yrs....najua vijiji vyake kama bereko, pahi, busi, mnenia, kinyasi, mauno, ...kuna pisi kali
 
Song: The man
Artist: My ownself

VERSE 1

Oh yeah, insider man wrote the story
And we niggas had to read in harmony
And he the man fell in love with bossy lady
And bossy lady got the mimba, flew all the way to madiba
She left the AUDI Q7 to the man
But we nigass are busy arguing each other
Though we knew the man is in danger

CHORUS
That sweet love of the man himself
That left us members in a daze
That made CHAPUTA do it all night long
Ooh all night long
Those millions he earned on uber
That left us members saying "chai"
That.......
 
Episode ya mwisho imenitoa machozi mlipokuwa mnaagana
Sijawai comment chochote ,na nilianza kufuatilia mwanzo mpaka mwisho Leo, mimi ni miongoni mwa watu wanaofuatilia Uzi kimya kimya bila comment.

Kuna vya kujifunza, kuzingaatia , kuachananazo na kupotezea. Kwa ujumla story inaburidisha, inaelemisha,wengine tumejua baadhi ya locatio ambazo hatukuzijua huku tuna zaidi ya miaka 5 mjini.

Hongera msimuliaji Kwa kushare Kwa pamoja story yako bila kujali kupoteza muda wako .
 
Heshima kubwa sana kwako brother INSIDER MAN [emoji1666]nimekuwa mfuatiliaji wa toka mwezi wa 8 kimya kimya mpaka leo unafikia tamati, Umenifunza mengi sana [emoji120] kwenye hustle zako M/Mungu aendelee kukujalia afya njema siku zote,pamoja na familia yako.


Nitakutafuta kaka tufanye biashara kama bd unajenga dodoma, kwenye vifaa vya ujenzi vyote vipo,FRIDA HARD WARE unaweza cheki Instagram pia,Jamhuri stadium 8road we have 3 hard ware hapo Jamhuri.


Umetoa funzo kubwa sana na litaishi kwa watu wengi sana, respect kwa Mama J, Iryne mpe heshima zake zote anazostahili mpaka leo Maana kakupa maisha sana kupitia kwa M/Mungu,Ni Mungu pekee hupanga hivo siku zote za Maisha tutakavyoishi.[emoji120] Respect brother na Ahsante kwa mda wako.
 
Umetisha sana mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…