Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sasa achana na mambo ya ndoa ya kanisani kwani wewe hapo una wake wawili tayari. Funga ndoa ya kimila ambayo inaruhusu wake wengi au hata ya serikali achana na mambo ya kanisani. Ili wake zako wote wawe sawa. Hapo huna haja ya mchepuko wewe una wake wawili. Waulize wanasheria watakwambia kuhusu ndoa ya kimila kwani inatambuliwa na serikali kuwa ndoa halali kabisa kama ndoa zingine tu.

Hongera kwa kuwa na wake wawili Mh Insider
 
Lakini pia tupe ka episode ka moja mambo yalivyoenda hadi leo tujue mtoto gani alizaliwa na vipi shule yake huko South. Ila usifungue code yoyote acha story ibaki hivi anonymous
 
Ili ugundue Nini labda. Umakini unahitajika kwenye maisha yako na mambo mengine ya msingi. Tumia iyo iyo akili kufanya ama kutatua shida ya Ajira kwa vijana ambao Ni graduates utakumbukwa daima. Iwe uwongo ama ukweli Ni Nini ambacho utapungua ama utaongezeka maishani mwako respectfully
 
Hongera INSIDER kwa kushare nasi story ya maisha yako, kwa upande wangu nimeburudika na kuelimika sana. Nimepata funzo kua sitakiwi kumpimia sex mme wangu. Nilikua na maswali mawili kwako. 1. Je hua unajuta kuoa mapema? 2. Mapenzi yako kwa boss lady ni real au ni kwa sababu ya maokoto yake? Na ikitokea second chance ya kuchagua mke kati ya Iryn na Mama J utamchagua nani and why?
 
Reactions: rr4
Nimesoma Stori za kila Aina humu JF lakini nikwambie tu kuwa hii Stori ni the best ever. Ni Stori ambayo kwakweli ilikuwa na msisimko Sana , nimependa Sana jinsi ulivyomaliza Stori hii kibabe Sana.

Kila mmoja ameridhika na Kwa upande wa Sisi wanaume umetuheshimisha Sana kumjaza ujauzito Irene.

Asante Kwa muda wako.
 
Muda wangu sasa wa kuanza kuisoma hii hadithi baada ya kuisha, nilikua nasubiri iishe kwanza, habari za kusema itaendelea siziaminii kabisa.
 

Kwenye maelezo yake hajawahi kujuta kuoa mapema,bali Kuna mafanikio alipata baada ya kuwa na mama junior..na pia uwepo wa mama junior ilimwongezea hamasa ya kupambana.

Mapenzi yake na boss lady ni real,sio mara moja amekuwa anakataa offer ya boss lady ya pesa japokuwa alikuwa analazimishwa achukue. Mwamba amekua mpambanaji hata kama ana mahusino na mwanamke mwenye pesa (Kwa mujibu ya maelezo yake ) hakuwa mtu wa kubweteka.


Kwa wanaume hatupendagi kuwa na mke moja kutoka moyoni ,tunajilazimisha tu Kwa sababu ya imani pamoja na kiuchumi .Kwa maana hiyo anatamani kutoka moyoni mama junior akubali Iryn awe mke mwenza na waoane kimila ,japokuwa anajua inaweza kuleta changamoto Kwa mama junior na kuvunja mahusino yake moja Kwa moja kama mama junior atajua, reaction itakuwa Kali.


Mkuu nakuambia sisi wanaume hatupendi kuwa na mke moja tunajilazimisha tu kutokana na imani (wakristo) ,utata wa mama mwenye nyumba, ndio maana tukiwa na mke moja Kuna mchepuko na anahudumiwa sawa sawa na mama mwenye nyumba.
 
Mkuu keisangora si ulisema insider akimaliza utaleta story yako na toto la kizungu ama
 
Muda wangu sasa wa kuanza kuisoma hii hadithi baada ya kuisha, nilikua nasubiri iishe kwanza, habari za kusema itaendelea siziaminii kabisa.
Hahahaa utafaidi sana maana arosto sio poa aisee 🤣
 
Hatimaye yale maringo ya Insider yamefikia mwisho. Alijiona keki sana, hasa pale aliposema episodes nne za mwisho zote zipo tayari afu kuweka ikawa tabu.

[emoji112][emoji112]
 
Kama kuna mahali nimesoma mkuu Insider Man utaweka extra,naisubiri
 
58
 
What
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…