Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ebwana Eee maisha kitendawili sana kikubwa kutokata tamaa tuombe Mungu anajua mwisho wetu
 
Aisee,inatisha
 
this story imenchukua almost 2 weeks mpka kuimaliza, nimejfnza vng sana na nataman sku moja npate nfas nkutane na insider this man seems t be genius and blessed. kama kijana kuna meng mazr ya kjfnza ktoka kwa hili jembe
Katika nyuzi bora humu na zenye mafunzo nilizozisoma humu ya kwanza ni ile "NAITWA ANALYSE NA HII NDIO STORI YA MAISHA YANGU" na yapili ni hii yako.. INSIDEE..

Nyie mnajua kulezea na halina mba mba mba.

All the best to yo
 
hongera mkuu na asante kwa kushare kuhusu story yako iko gud nasubiri hizo nyama nyama🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…