Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

67
 
Bonge la ushauri
 
INSIDER MAN kwa heshima naomba utupe muendelezo kuna vitu vingi bado hatujui viliendeleaje.

Shule ina kukip busy pamoja na mishemishe, tunaomba ulifikirie hili hata mwakani sio mbaya. 🙏🙏🙏

naamini hata ukituchajisha watu watajitokeza tu, buku au buku 2 sio kubwa kwa mtu kutoa support ya muda wako.

Angalia email yako nimeomba unitumie namba nikuwekee Pesa ya Junior kwa kupoteza muda wako kutupa story nzuri. Hii story ni popular sana leo ofisini kuna wadada walikuwa wanaiongelea 🙌🏿🙌🏿
 
Hivi kwann watu wanasema wamejifunza vitu vingi sana kwenye hii simulizi bila kutaja hivyo vitu walivyojifunza?? Au tuseme wanakua too nervous.kwa upande wangu naona kama vile ni personal life experiences ambayo mr.insider kabarikiwa kupitia,kamwe hatuwezi kua na the same life experiences nisawa namaisha labda ya barack obama akisimulia,labda maisha ya the late john Magufuli,nawengineo wengi tu wakisimulia walivyopitia maishani.
 
100% true
 
Thank San mkuu umetisha mno itabaki kuwa story Kali muda wote hapa jf
 

Ahsante mkuu [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…