Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapa hata mimi nimekubali.

Kati ya picha zote za mchongo za kum-imagine Iryn,hii ndo ya viwango vya juu A+
Wasifu wa Iryn ni kwamba pamoja na kuwa mrembo mwenye ukwasi mwingi, lakini pia yuko intelligent mwenye IQ kubwa lakini pia very aggressive ukimzingua! Mara ngapi anamchenjia Insider man mpaka anaomba poo! Mwanamke wa jinsi hii ukimtazama hawezi kuwa na sura ya kindezi kama hii
 
Attachments

  • FB_IMG_1697967459831.jpg
    44 KB · Views: 53
Ukitaka kukulana kihivi unavyotaka, nenda kwenye RIWAYA ya singanojr #Nilidjani-malaya-kumbe-bikra# uone jinsi ROMA a.k.a Mfalme Pluto anavyokula watoto wazuri wazuri.
 
Ukitaka kukulana kihivi unavyotaka, nenda kwenye RIWAYA ya singanojr #Nilidjani-malaya-kumbe-bikra# uone jinsi ROMA a.k.a Mfalme Pluto anavyokula watoto wazuri wazuri.
Anayo nyingine Singano Jr tuichungulie inakwenda Kwa
*Simulizi -2 Hours of Memories (Espionage and Science)
 
Ujio wa Iryn ktk maisha ya Insider ndio mwisho wa mama J. Ila jamaa anajua kutuweka sawa. Inahitaji utulivu sana wa akili kujua mama J alijichenga.
 
Mm naona arudi tu kwa bimkubwa na wakae ki utu uzima yenyeewe.............kwakuwa ni mhenga(Mtu mzimah) amepitia meeng atakushauri vema
 
Hatimae nmewapataaa [emoji23][emoji23]haikua rahisi..[emoji119] mkuu INSIDER MAN heshima yakoo..
nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe [emoji28]
 
Ujio wa Iryn ktk maisha ya Insider ndio mwisho wa mama J. Ila jamaa anajua kutuweka sawa. Inahitaji utulivu sana wa akili kujua mama J alijichenga.
Na pengine Irylin ni Babra wa Umbumbuni. Na Muajemi ni yule tajiri wao anayenyonya wafanyakazi....
 
Ahsante sana, naomba niulize machache.

1) INSIDER MAN wewe ni marioo kwa Irene?

2) umesema saluni ya masaki hata tukienda leo tutakuta picha mliyopiga kwa mapoja, je nikienda kumpeleka shemeji yako hiyo saluni nitafanikiwa kumuona Irene kwenye hiyo picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…