Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kutoka katika sakafu ya moyo wangu mimi (Zinn), kwakweli insider nakushukuru sana kwa huu uzi, sijawahi kusoma uzi mzuri kama huu, mpaka kuna kipindi nikawaza namimi nifanye biashara ya Uber ili nipate connections, nakushukuru sana nimejifunza mengi katika simulizi yako.
 
Kichwa yako imebeba meno.....huna akili
Katika episodes zote ulizosoma kama conclusion yako ndo hii kwa uhalisia wa situation ilivyo itoshe kusema huna maana
Haaaaa haaaaaaa kumbe mama J yupo humu ndani na hamsemi?natania bana
 
Inawezekana kirahisi?mbona aliwahi kumuuliza Insider Kama memjuaje Jane na Mambo kadhaa wewe ni hatari

Kama umesoma stori yote utakuwa uliona namna ambavyo Jane alipewa urithi wake kama wosia wa Mzee Pama ulivyotaka, na mama Pama hakuwa na kipingamizi...

Sehemu nyingine, mzee Juma alipowaalika wageni nyumbani kwake aliwaalika Jane pamoja na mama Pama, hii ni kuonesha hakukuwa na bifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…