Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN leo nimemuona mchuchu mmoja ni kama ana match profile ya Iryn...

Alikuwa ni msafiri wa ATCL Dom-Dar, mchuchu mmoja hivi rangi ya mtume, ukimtazama kama ni mixer ya mzungu na watu jamii ya Waarabu, Wahabesh au far East Asians...

Kavaa summer dress with batik print, ako na brown sun goggles, mkononi anakokota suitcase ya damu ya mzee...
 
Best story ever
 
Kama umefika Epsode ya 32 kuna link hapo chini ya kwenda EP 33, hicho kichwa unafugia meno na nywele tu?
Mkuu mfano nimetoka apps imejiclose nafungua upya ili nifike 33 inabid Ni scroll mpaka page hio. Ndo Mana nikaomba mods waziweke katika mpangilio mmoja. Ila unanishambulia tu nashukuru
 
Mkuu mfano nimetoka apps imejiclose nafungua upya ili nifike 33 inabid Ni scroll mpaka page hio. Ndo Mana nikaomba mods waziweke katika mpangilio mmoja. Ila unanishambulia tu nashukuru

Mkuu unashindwa kuweka kituo cha ulikoishia? Then ukirudi badae una search namba ya reply ulikoishia unaendeleza?
 
Kwa vyovyote vile huyo hakuwa Lryn maana angekuwa amepakata mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…