Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kesho yenyewe ndo hiii
 
Ngoja Niongelee UBER kwa hapa watu wanavyofanya (Canada)

Uber imegawanyika sehemu 2
1. Uber abiria
2. Uber Eats

1. Uber abiria
Hii inapesa zipo za wasio na pesa na wenye pesa, Hapa kukuta mtu ana Tesla na amefanya uber huwezi shangaa, BMW X3, watu wanapigia Uber, volvo etc)

Gari za kawaida pia zipo,

Kwenye uber masaa 5 tu kwa siku 3 unatengeneza $400 (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili)


Hapo kwenye "comfort" unakutana na gari za maana sana

2. Uber Eats
Hii bongo huwezi pata wateja kabisa, kwa sababu sisi watu wengi wanapika majumbani, na wanaoagiza chakula ni wanawake wa chuo wasio na pesa

Wazungu wanakula kama mchwa, huwezi amini migahawa inakesha hizi nchi 24/7, sio Tims,sio MCDonald, sio Subway na zingine kibao.

Huku migahawa ni sawasawa na makanisa yalivyo mengi bongo

Sasa uber eats ndio ina pesa, masaa 4 kulaza $100 kawaida sana, hujaweka Tips hapo $60+

Wazungu wanatoa tips kama tunavyogawa rasilimali kwa waarabu

Full-Time uber kwa hapa kwa mwezi analaza $3500

Komaa, nimeamua nisindikize uzi wako tu

INSIDER MAN
 
Unyamwezini biashara mtandao inalipa sana, wazungu wanapenda vitu systematic...

Hata Taxi/Cab za kawaida unaweza kuweka order kwa simu, unataja mahali ulipo na unapokwenda, unatajiwa fair...unakuwa picked na dropped vizuri tu

 
msaidie ahamie huko mkuu
 

Vipi masuala ya Kodi, tozo?
 
Moro-Dar ulitembea sana mzee -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…