Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Umeyakanyaga
 
HADITI IMEISHA , hamuona mnasoma tu mwendelezo usio na content za haduithi zaidi ya mtu kueleza ratiba yake ya siku kuanzia asbh mpok anaingia kulala!

Mnalazimisha aendelee kusimulia tuuuuu. aweke tuuu!

Ilishafika climax and resolution hii story.
no inashindwa kutembea!
 
Achana nayo tu sie tunafurahia hizo ratiba.
 
Siku hizi hakuna shida mambo yamebadilika mtu anajifungua visu 4 mwilini na bado atashika jembe atalima
Inategemea na hao wataalamu wamefanyaje hiyo operation lakini kiukweli ukichezea vizu huna tena uzima ndugu yangu, omba yasikukute wengine wamepata vilema vya maisha Kwa hizo operations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…