INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
- Thread starter
- #12,081
Tutafute hela😂Kauli ya mwisho Ni ya kibabe sana😃
Tutafute hela😂Kauli ya mwisho Ni ya kibabe sana😃
Wivu unamsumbua tu!😎Na alishakuonya kuwa ukiendelea hivyo hutomuona yeye wala mtoto
Muhimu aise lasivo vitisho havitaisha😅Tutafute hela😂
Angalia vizuri mkuu (12,043)INSIDER MAN uongo umeanza lini? Leo si tar 7 jamani
Nyingine lin?Angalia vizuri mkuu (12,043)
Ndiohivi mtoto wa siku moja tu unaweza kujua kafananaje
sina uhakikaNdio
Uko kama mimi! Stori ya maisha yangu ni Jack Daniel kama sikosei.Katika nyuzi bora humu na zenye mafunzo nilizozisoma humu ya kwanza ni ile "NAITWA ANALYSE NA HII NDIO STORI YA MAISHA YANGU" na yapili ni hii yako.. INSIDEE..
Nyie mnajua kulezea na halina mba mba mba.
All the best to you
Kizota mkuu...Ofisi yako iko sehemu gani hapo Dodoma?
Kampuni moja mkuu. Nipo kiwandani tunazalisha Mabati lakini kiwanda chetu ni wakala mkubwa wa kampuni ya tailes Goodwill.Mkuu Bancoc,
Unauza mabati na tiles za makampuni tofauti tofauti au ni kampuni moja?
Inawezekana mkuu,hivi mtoto wa siku moja tu unaweza kujua kafananaje