cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,949
- 5,157
Asante kwa kujazia point 📍Malizia awe mzuri kuzidi Iryn hapo ndo ntaruka naye😂
Ila wengine walikuwa hawamfikii boss lady na bado ukagawa wastani kwa idadi. Never say never
Asante kwa kujazia point 📍Malizia awe mzuri kuzidi Iryn hapo ndo ntaruka naye😂
Kwaiyo insider ni Mzee wa kugawa wastani kwa idadi....nimeipenda iyoAsante kwa kujazia point 📍
Ila wengine walikuwa hawamfikii boss lady na bado ukagawa wastani kwa idadi. Never say never
We hujaonaa?Kwaiyo insider ni Mzee wa kugawa wastani kwa idadi....nimeipenda iyo
Kwakweli anajitahidi....We hujaonaa?
Nbaa ni sehem gni mkuuKaka sijawahi tumia Samsung katika history ya maisha yangu. Kama unataka kuniona uwe unatega NBAA mostly nakwenda pale kujisomea.
Hii imepita bila ubishi boss wangu😊Haha wakikutag ba miki nitag
Acheni shobo, mtakuja kutapeliwa na kubakwa kisa hizi story za uongo humu JF
Njoo nikushobokee wewe basi uridhike, unadhani kila mtu ni mjinga mjinga kama uliowazoea? Hii story naisoma for fun na the same kwenye kucoment so unadhani waliosema walimuona Irene ni kweli au wanachangamsha Uzi tuu??? Same to me just kuchangamsha uziAcheni shobo, mtakuja kutapeliwa na kubakwa kisa hizi story za uongo humu JF.
Google Mhasibu houseNbaa ni sehem gni mkuu
Memo wa muuza madafuKwaiyo insider ni Mzee wa kugawa wastani kwa idadi....nimeipenda iyo
Ahaaaa watu tunasubiri episode mpaka Sasa hatujalala, ndo unakuja na hizo swaga....daa ujuwe weekend hii kaka..unatupa majaribu kinoma.Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
😂😂😂😂INSIDER MAN hii story ikiisha tunaomba uje na edition nyingine ya namna hii story ilivyokupa ma manzi wa Jf 😃😃😃
Naomba ni we mmojawapo😂😂😂😂
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
Hil Iko too technically zaidi kaka maana hii msisitizo wa nitaonana nao naona imekaa kimkakati zaidi 😃😃 shusha hata episode 3 za chap kaka , weekend tusikae kinyonge😂😂😂😂
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
KARIBU MWANZA mkuu😂😂😂😂
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.