Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Makanisa ya leo, hadi sasa Insider man hajatoka 😬na ni saa sita kasoro huku Insider man akiwahi Misa ya Kwanza akabisa leo
😱
Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
 
cacutee, naona umeamua kuwaita na wengine mule raha pamoja na insider man 🤣 maana si kwa wivu huooooo
 
Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
Mimi ningeenda tu. Uoga wako tu. Sioni tatizo lolote. Kwani utaozwa kwa lazima hapo hapo?. La pili Iryn kichwa sana hawezi Kukubali kukupeleka mahala kwa wewe kupata matatizo. Vinginevyo alikuwa na uamuzi wa kwenda tu peke yako kama kutakuwa na shida yoyote
 
Back
Top Bottom