Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,416
- 5,009
Mtakufa kwa wivulazima awe si kalipata zoba lake
kama weweIla Irene ana kisirani
wivu kwa fiction story? ushamba mzigo pole mkuuMtakufa kwa wivu
Bahati mbaya huwezi kujijua ushamba wako.wivu kwa fiction story? ushamba mzigo pole mkuu
nashangaa kuna watu wamepagawa kabisa au ni kwakuwa wametokea pawagawivu kwa fiction story? ushamba mzigo pole mkuu
ACha tu mkuu mpk unashangaa wanakula chakula au funzanashangaa kuna watu wamepagawa kabisa au ni kwakuwa wametokea pawaga
Umekula lakini?Bahati mbaya huwezi kujijua ushamba wako.
Pamoja na kichwa chako kibovu fikiria umefika sehemu umekuta umati wa watu zaidi ya 1000 wanafurahia kitu fulani. Ukafika wewe mtu mmoja tu ukaanza kuki-crash,kukiponda kitu wanachofurahia watu zaidi ya 1000. Utasema zimo humo kichwani??? Kwamba wewe mmoja peke ndio muelewa kati ya hao 1000???.
Labda tu uwe na viwili kati ya hivi DISH LIWE LIMEYUMBA AU UWE MCHAWI.
Japo najua kwa upeo wako napoteza muda tu kukujibu.
Fanya Research viwanja vya dizaini hii vinakuwa na fujo sana, hakuna ustaarabu.Mwamba umenifurahisha hapa
"Mimi sipendelei maeneo yenye uswahili na viwanja ambavyo kila mtu anaweza ku-access mimi huwa siendi." πππ
ππππππ Ngoja tuone kama arsenal atatuteteaArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 β
apo ni kweli kjana wa mungu mana s unajua kuna wengne makenge hawaamini mpaka watoke damuArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 β
Hili sharti gumu sana mzee babaArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 β
Hii haiwezekani mzeeArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 β
π π π unafahamu fika arsenal hawezi kutwaa ubingwa we fanya hisani tu mzee tumuone ireneArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 β
Mpaka sasa credit anazo mbona we fatilia tu kuna wale wanafatilia kimya kimya na kuna sisi ambao tumejiweka wazi tu kufatilia na comment juu mi jamaa nimemkubali ana hadithia vizur wala sioni haja ya picha tusije kutoka nje ya reli bure uoneshwe picha ya iryn au ya hiyo audi upanic bure,, bora twende hivi hivi mkuuh
apo ni kweli kjana wa mungu mana s unajua kuna wengne makenge hawaamini mpaka watoke damu
ila uwe unatupia na pcha yan kama ulkua fild yani ili upate credit za kutosha mana iman imetoweka sana uzi wa uhakika watu makenge yan haiamn
Bado tuna imani na ArsenalArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 β