Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jukwaa la story unaongelea mkataba kafirwe

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Umetisha kaka, lini tena tukusubirie ndg
 
Hivi isider ina maana huyo Dada mwenye biashara za mamilion alidhindwa kununua hata ka IST ka million 15

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Maisha yana sababu nyingi sana, mimi nina mtu namfahahamu licha ya kuwa ana nyumba nzuri za kifahari kila kona ya mji lkn ana gari VX toka mwaka 2012 hadi leo.

Kama asingekuwa anafanya kazi kwenye shirika kubwa la kimataifa tena kama bosi basi wabongo tungesema kuna namna.
 

Huu uzi umetutendea haki sasa [emoji3059]
 
Jukwaa la story unaongelea mkataba kafirwe

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
That's nature of your brain. Tangiapo sijaona neno ama tusi jipya ulilotukana mkuu. Ungeomba ushauri kwa Koo yako yote ,marafiki,pia na hata utumie mtandao ugugo upate tusi jipya japo utaonyesha namna gani ulivyokulia kwenye Koo ya kijanja ya kutukana matusi mapya ili ukija kuwa na wajukuu uje kuwa unajitapa kuwa ulikuwa Ni mwanaume dume la mbegu ama la nyani kwa kugundua mapya matusi. Kama umesahau mengine naweza nikakusaidia ili uniambie mengi zaidi kiasi kwamba nikupe salute.

Ongeza matusi Mana unaiabisha Koo yako yenye dna hizo,pia inaonekana ulivyolelewa na shuleni ulikotoka hujafundishwa matusi vizuri,Rudi shule ama waambie waliokuzaa na kukulea kuwa mbona bado sijaiva kutukana Kama wengine Mana wao wanaheshimika kwa matusi Ila mie bado.
 
Wewe Fara.

Umeitwa hapa .

Mimi naongea na insider .

Siongei na mpumbavu kama wewe unayeleta mambo yasioleweka.

Kima wewe

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Wewe Fara.

Umeitwa hapa .

Mimi naongea na insider .

Siongei na mpumbavu kama wewe unayeleta mambo yasioleweka.

Kima wewe

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Matusi ya mtt wa chekechea ,wewe umetoka Koo yenye matusi na unamiliki digrii ya matusi. Weka matusi Basi mazito. Unaiabisha mbona mkuu. Weka ambayo huwa nasikia wengine wanayaongea. Hutopata tenda msimu ujao. Demand Ni kubwa supply ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…