INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
-
- #12,781
ivi ni kwasababu ya biashara ndo maana auπ€IST bei zimepaaa sana ππΏππΏ
Ukijumlisha na Tax inafika 18M
Dollar ipo juu sana, pia gharama za shipping zimepanda sana.ivi ni kwasababu ya biashara ndo maana auπ€
Mimi natamani kujua ile bahasha aliyokupa mzee Juma ilikuwa na shs ngapi.Yote kwa yote jihesabie kuwa mtu mwenye bahati.Shukrani sana mzee kwa kutukumbuka
Mkuu unamuamini?Mimi natamani kujua ile bahasha aliyokupa mzee Juma ilikuwa na shs ngapi.Yote kwa yote jihesabie kuwa mtu mwenye bahati.
π π π πMkuu unamuamini?
Huyu ni chiz tuπ π π π
Punguza makasiriko Mshikaji wangu, hasira za nini? Everywhere humu ni kisirani tu. Kama hupendezwi na jambo kaisha tu. Alafu huu uzi asilimia 99.9 wanaufurahia isipokuwa wewe tu mtoa kasoro, hujishangaii?
πππππInsider, unaendekeza sana umalaya, ungekuwa mwanamke, at your age, injini ingekuwa tayari imelika na kusagika.
Kweli kwa ongea hiyo yako wote nyie inaonekana live madishi yameyumba.Hapana sio Chiz
Litro ni Mchizi wangu πππ
Sio siri umeshikiwa akili wewe. Halafu unajisifia. Huo sio utoto tena. Unaenda kulemaaLitro tunaitwa machizi huku njoo πππ
Poa Mkuu jioni njemaSio siri umeshikiwa akili wewe. Halafu unajisifia. Huo sio utoto tena. Unaenda kulemaa
Kumbe mselaMsela mmoja hivi πππ