INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #12,781
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi ni kwasababu ya biashara ndo maana au๐คIST bei zimepaaa sana ๐๐ฟ๐๐ฟ
Ukijumlisha na Tax inafika 18M
Dollar ipo juu sana, pia gharama za shipping zimepanda sana.ivi ni kwasababu ya biashara ndo maana au๐ค
Mimi natamani kujua ile bahasha aliyokupa mzee Juma ilikuwa na shs ngapi.Yote kwa yote jihesabie kuwa mtu mwenye bahati.Shukrani sana mzee kwa kutukumbuka
Mkuu unamuamini?Mimi natamani kujua ile bahasha aliyokupa mzee Juma ilikuwa na shs ngapi.Yote kwa yote jihesabie kuwa mtu mwenye bahati.
๐ ๐ ๐ ๐Mkuu unamuamini?
Huyu ni chiz tu๐ ๐ ๐ ๐
Punguza makasiriko Mshikaji wangu, hasira za nini? Everywhere humu ni kisirani tu. Kama hupendezwi na jambo kaisha tu. Alafu huu uzi asilimia 99.9 wanaufurahia isipokuwa wewe tu mtoa kasoro, hujishangaii?
๐๐๐๐๐Insider, unaendekeza sana umalaya, ungekuwa mwanamke, at your age, injini ingekuwa tayari imelika na kusagika.
Kweli kwa ongea hiyo yako wote nyie inaonekana live madishi yameyumba.Hapana sio Chiz
Litro ni Mchizi wangu ๐๐๐
Sio siri umeshikiwa akili wewe. Halafu unajisifia. Huo sio utoto tena. Unaenda kulemaaLitro tunaitwa machizi huku njoo ๐๐๐
Poa Mkuu jioni njemaSio siri umeshikiwa akili wewe. Halafu unajisifia. Huo sio utoto tena. Unaenda kulemaa
Kumbe mselaMsela mmoja hivi ๐๐๐