Movic Evara
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 209
- 491
Sema ahsante Kwa Google Translator 😜😜😜😀😀😀INSIDER MAN The next episode is a sequel to the last episode, so it's hard for me to predict what the new episode will contain, but what I do know is that it will be linked to the last episode.
Le prochain épisode est une suite du précédent, il m'est donc difficile de prédire ce que contiendra le nouvel épisode, mais ce que je sais, c'est qu'il sera lié au dernier épisode.
Hili neno something fishy ndo hatari zaidi kwa INSIDER MAN 😂🙌INSIDER MAN next episode itaanza utakubali kumpa Iryn simu aongee na mama but kwa sharti la kuongea kama boss wako na sio mchepuko wako ila mama ata sense something fishy between you two
Lazima nibetHili neno something fishy ndo hatari zaidi kwa INSIDER MAN [emoji23][emoji119]
Daaah,Asma ameshaliwa tayari,na kakubali kuwa mchepuko wa siri50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
Baba junior umeona nimepatia unaanza janja janja hahahaha50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
Asmah ulimla na hili suala la Asmah ndilo lililokutenganisha na Irine50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
asmah ataendelea kukuonyesha kuwa anakupenda lakini hamna kitu kitaendelea kati yenu zaidi ya urafiki wa kawaida50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
Ukalang.neeja mosiINSIDER MAN next episode itaanza utakubali kumpa Iryn simu aongee na mama but kwa sharti la kuongea kama boss wako na sio mchepuko wako ila mama ata sense something fishy between you two
next episode umegundua asma anakuroga.....mapenz yote yameisha50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
1. Kizoka utampa gari episode ya 15Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.
1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)
2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).
Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.
NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.