Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Atakayeumwa ,ama kupata hasara yoyote kwa kutoletewa story kwa muda anaopenda yeye aseme atafidiwa.
Unavyolalama ndivyo anavyozidi kuchelewa kuleta.

Atakayepoteza kazi,ama wateja wake kisa tu hajasoma story aseme.
Atakayeshindwa kuzaa ,ama akaugua aseme,atakayepoteza raslimali zake atafidiwa. Atakayekosea kutuma muamala kwa mteja ama kumzidishia mteja chenji aseme
 
Arosto haipo kwenye madawa ya kulevya pekee hata story ya uwongo na kweli nayo ina arosto
 
Your brain is pleasure seeking machine and repel pain even if the pain is of the truth.
That's what our mother nature had given us.
Let us thank
Wewe unajua unaleta ushauri mzuri in a wrong timing and wrong place ndio maana mimi naudharau huo ushauri wako..! Hizi forum waliocreate nadhan walisha consider mahitaji yote ya consumers ndio maana wakatengeneza different site ili kutofautisha maudhui..

Sasa embu ona hiki ulichokiandika

“ Pigia simu watu wako wa karibu uwaambie unawapenda mno na unawajali sana”

Unadhani huu ushauri una umuhimu kwangu kulingana na mada au maelezo niliyotoa hapo kabla? Na nani aliekwambia mimi huwa siwekagi muda wa kuwapigia wapendwa wangu na kuwajali mpaka unatoka huko unaanza kunishauri in the middle of nowhere?


Embu cheki hii nyingine hii uliyoandika inayonishangaza

“Yaani raha inaliliwa, angekuwa anatoa mfano masomo yake kufundisha hesabu, account, ama masuala ya afya , ama masuala ya mental health kuwa social networks sio nzuri,usinywe soda,sukari , Ngano tumia mno tangawizi Kila siku usingelia Lia hapa kuwa ahadi utimiziwe.”

Yani unanipangia cha kufurahia😆.. Nataka nikwambie bro we are all seeking happiness in this world, kama wewe hauko duniani kutafuta kitu kinachokupa furaha basi utakua na shida..

Yani unaweka mambo ya kuelimisha na mambo ya kuburudisha kwenye mzani mmoja alafu unataka yalete vibe linalofanana kwa mwanadamu? Hilo ni jambo la ajabu..

Mwisho wa siku narudia kila mwanadamu ana priorities zake halafu mwisho wa siku watu hatujuani hapa mpaka tuanze kupangiana cha kupenda au kipi si kizuri..!!! Kama unaona hivyo unavyoona wewe ni vipaombele vyako kwenye maisha basi si kwa mwingine na ni lazima uheshimu vipaumbele vya wengine kama unavyoviheshimu vyako
 
Narration and alibi that duking out due to emotions
 
Unavyolalama ndivyo anavyozidi kuchelewa kuleta.
So kumbe utofauti ya wewe na walalamikaji ni uvumilivu Mr. Accismus? Yani na wewe una hizo hisia kama za walalamikaji sio?
Yani ni kama unawaomba waache kulalamika ili story iletwe..! They call you Accismus..!
 
Niweke kituo
 
You call it Emotions..!? Learn to appreciate others priorities..! Otherwise fungua na wewe uzi wako utoe ushauri wako uchwara uko..
Your ego want you to be right.
But it's very difficult to see inside of yourself. Am my own problem,am my worst enemy. I controll my own brain, though and not outside of me.
Ego is the bitch niga.
Have cool nice rest and enjoyment,
 
So kumbe utofauti ya wewe na walalamikaji ni uvumilivu Mr. Accismus? Yani na wewe una hizo hisia kama za walalamikaji sio?
Yani ni kama unawaomba waache kulalamika ili story iletwe..! They call you Accismus..!
You want to reason emotions.
Emotions decide actions later logic reason and defend emotions
 
You want to reason emotions.
Emotions decide actions later logic reason and defend emotions
Umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza hapo juu..! Umeng’ang’ana sijui emotion..! Next time leta ushauri sahihi, sehemu sahihi na kwa wakati sahihi..!
You pretend to be smart kumbe upuuzi mtupu
 
Mimi INSIDER MAN alete story kwa wakati asilete kwangu sawa sababu najua yeye ni binadamu ana majukumu yake,ana mitihani yake,ana maisha yake akipata wasaa atakuja kuendelea alipoishia napita nikiona hakuna muendelezo nasoma nyuzi zingine.
Inabidi awe analeta once a month,
Kama watu watoe hela Mana hisia zako ziwe vizuri mbona mnalipia ving'amuzi ili tu ujisikie vizuri.

Ukitaka kupata pesa wewe wape watu Raha ama wajisikie vizuri.

Yaani mtu ni rahisi mno kunywa soda ili ajisikie Raha ama utamu wa muda mdomoni Ila in long run ina waathiri like cigarettes Ila ni ngumu kusagiwa tangawizi ikawa ya baridi raw and pure garlic akanywa akajisikia uchungu mdomoni Ila kwa muda mrefu mifupani mwake akapata faida ya kiafya.

Jiulize waarabu na wahindi wanavyowapa wabantu majuisi kola eti ni ya embe , na huku mtu anaweza kapata embe fresh.

Just play with human emotions unatoboa.

Wape chakula kitamu mdomoni na waambie maneno matamu wapate Raha moyoni mwao
 
Your ego want you to be right.
But it's very difficult to see inside of yourself. Am my own problem,am my worst enemy. I controll my own brain, though and not outside of me.
Ego is the bitch niga.
Have cool nice rest and enjoyment,
So umeamua kuingiza tena na mambo ya ego😆..? We jamaa bure kabisa..!
 
Umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza hapo juu..! Umeng’ang’ana sijui emotion..! Next time leta ushauri sahihi, sehemu sahihi na kwa wakati sahihi..!
You pretend to be smart kumbe upuuzi mtupu
My ego inanipa kiburi kuwa am right Ila mwenzangu Yuko sahihi.
Pia ni ngumu mno ku admit kuwa am wrong, or am the one who is the problem.

Our brain is self saving.

Mfano mwita akichelewa kuja kazini mie nasema ni tabia yake hiyo ya kuchelewa Ila mie nikichelewa nasema ama najitetea ni bahati mbaya,mara traffic jam ama tyre puncture.


Mie nikitoboa Maisha nasema kuwa nilivumilia mateso,nililala njaa,nilianza na shilingi kidogo mno ama sikuanza na kitu kabisa,sijasoma Ila nimeajiri wasomi wanaonizidi elimu.

Sasa njoo ubongo wangu unavyosema Kama mwita akatoboa Maisha.


Mara mwita akashikwa mkono,mara akapata koneksheni kubwa,mara akaenda freemason,mara utajiri wa masharti,mara yeye akatoa wapi hizo zote Mana mie namzidi uwezo ama akili,.

Pia sio lazima uelewane na Kila mtu,Kuna muda mtu anaongea unaona ni upuuzi kulingana na uwezo wa your thinking capacity uko sahihi kabisa mie ni mjinga Wala huna kosa lolote kabisa
 
Wewe kama sio hizo emotion huku unafanya nini kwenye hii story? Mr. Accismus..! You pretend that you dont like but your actions betray you bro..

Toka kwenye hii story ili u kujustfy your words otherwise wewe ni Accismus
 
Sasa embu hiki ulichokieleza kilete kwenye mada..! Wapi hapo mfano wako una relate na comment za waulizia story?
 
watu tukimchana mnatublast uyu namfananisha na maakoond ameshalewa masifa sasa anatibuatibua angekufa tungeshajua ni mzima wa afya na anasoma mabishano anacheeka anaona da nimejipatia wana kupitia finction story kama amebanwa alitakiwa kuandika tu mstari mmoja hapa kwamba wakuu mnivumilie ntarejea afta so n so watu tunavumilia mgao wa umeme itakua hii sisisi na hapa atakuja atupie kimoko watu washasahau full kumpleizi mwana mjanja bontown ana akili ana bahati na yy akisoma anacheeeka anashangaa sna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…