Why Sasa anazuga. So jamaa akiamua kukaa kimya aseme si ulikataa atasema mbona hukunibembeleza
Wewe ndio mimi kabisaMimi INSIDER MAN alete story kwa wakati asilete kwangu sawa sababu najua yeye ni binadamu ana majukumu yake,ana mitihani yake,ana maisha yake akipata wasaa atakuja kuendelea alipoishia napita nikiona hakuna muendelezo nasoma nyuzi zingine.
Pole sana mkuuBadae nitawataja washindi zangu. Nilipata msiba mkoani, nimerudi jana usiku.
Aisee pole , watu walipaniki mno wakataka kuja kukusweka rumande kuwa hujawapa episodeBadae nitawataja washindi zangu. Nilipata msiba mkoani, nimerudi jana usiku.
Sema mkiringa na mwanaume Kama anakupenda anafurahi kukubembeleza
Wakwanza kupatiaikitokea zaidi ya mtu mmoja wametoa majibu sahihi
je,wote watapewa hiyo zawadi
Nakupm naona umefunga pmGood Luci ndo winner wa 1 kupatia nitakwenda Zanzibar na Hilda(Post #13,009). Unaipataje cash yako?
.Good Luci ndo winner wa 1 kupatia nitakwenda Zanzibar na Hilda(Post #13,009). Unaipataje cash yako?
Hongera mkuu. Mimi nilisema asmaa nikakwamishwa na wambea CIA wa IrynNakupm naona umefunga pm
Nitakuwekea kesho mkuu.0765623795
People preffers good things to Right things.Yaani huwa nashindwa why nature ilitupa ubongo unaopenda mambo yasiyo na manufaa ama faida kwetu Ila Mambo yenye mafanikio hatuyapendi
🙏🏽 Mama Edina kumbe na wewe FBI 😅Hongera mkuu. Mimi nilisema asmaa nikakwamishwa na wambea CIA wa Iryn
Jina lako kumbe linaendana na good lol
Pamoja mkuuNitakuwekea kesho mkuu.