cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,949
- 5,157
Hahaha yeah si ndo maana nkakupatia ushike simu yangu bila wasiwasiAsantee sana boss, bila shaka ulikuwa unachat na cousin wako yaah
Hahaha yeah si ndo maana nkakupatia ushike simu yangu bila wasiwasiAsantee sana boss, bila shaka ulikuwa unachat na cousin wako yaah
Asingekua anamtuma akafuate hizo fedha. She ain't that stupid and also she had opportunity to date Muajemi who is way richer than that guy but she turned down. I still believe he saw Convo concerning all his daily itinerary. That should worry him because she actually know all his movement.Hili nalo linawezekana...lakini rejea kuna jamaa insider alisemaga hamuelewi kuna dollass za miamala mara kadhaa kutoka kwa huyo mtu kuja kwa irene, huenda ndio mwenyewe ngoja tuone.
ndgu hyo luga s msala babu mana wengne skonga tulikmbiaAsingekua anamtuma akafuate hizo fedha. She ain't that stupid and also she had opportunity to date Muajemi who is way richer than that guy but she turned down. I still believe he saw Convo concerning all his days itinerary. That should worry him because she actually know all his movement.
mbona unarukia mkuki kwa mbele mkuuI still don`t believe Iryn cheated....there must be some sort of misunderstandings somewhere
Asingekua anamtuma akafuate hizo fedha. She ain't that stupid and also she had opportunity to date Muajemi who is way richer than that guy but she turned down. I still believe he saw Convo concerning all his daily itinerary. That should worry him because she actually know all his movement.
Hakuna kitu kinauma kama mwizi kuibiwa na mwizi mwenzie😆😆😆Mimi kama mwizi nimeumia sana
Mimi kama mwizi nimeumia sana kuona mwizi mwenzangu unaibiwa 😔
SPAIN 🇪🇸Euro unasimama wapi braza, mtanange umeanza tayari.
Maumivu yake bora ugongwe na trainHakuna kitu kinauma kama mwizi kuibiwa na mwizi mwenzie😆😆😆
Acha kabisaMaumivu yake bora ugongwe na train
Laivu laivu mkuuAcha kabisa
I am going with France and hoping the england doesn't remisence the 2020. They have a tendency of hyping their little success in their media.SPAIN 🇪🇸
Na hongereni Kwa mwanzo mzuri.SPAIN 🇪🇸
😂 😂 😂Kwan hata chuo anachosoma we unakijua? Au ulikua unatafutaje mwenzetu?
Next ep lini..?SPAIN 🇪🇸
😂😂😂sheikh hii huwa ni ya moto sana moyoniHali ya kugundua usaliti kupitia simu inatafunaga maini vibaya mno.hata kama na wewe ni msaliti huwa inaduwaza sana. I feel you... imenikumbusha mbali sana naona kama jana vile kila nikikumbuka...