Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kabul Pulao Pilau Pendwa La Pakistan.

Ilikuwa Ijumaa Order ya wateja wangu wapo walotaka Biryani wengine Kabul Pulao pembeni ikisindikizwa na Bisbas Chachandu ya Yemen na Sambharo

Gily Gru mwambie wifi soon nakuja tuipike Kabul Pulao nampa na Secret Ingredients ambayo simpi yoyote kila Chef ana secret yake ya chakula kitamu.
Mumeo ashindwe mwenyewe tu. Anakula vitamu halafu anakula Tena vitamu sisi huku mgodini hayo maisha kwetu ni kama tamthilia.
 
Smart move ya Iryn ni kuwapa zawadi wafanya kazi wake ya IPhone akiwemo Insider na mke wake. Anaona mawasiliano yao na location alipo.

Insider alimpeleka Asmah akapumzika kidogo hapo lakini akajikuta amelala hadi saa 10 alfajiri. Hapa Iryn aliona simu zikisoma location moja masaa zaidi ya 4 lazima ahisi kuna jambo linaendelea. Halafu Insider huyohuyo alichukua simu ya Asmah na kuindoa scam spy app za Iryn. Hii ilikuwa kengele kuwa mali Italiwa badly na Iryn hatakuwa na chake. Simu alizogawa Iryn kama zawadi kwa wafanyakazi ndio ulinzi wake kibiashara na kwa mtu anayempenda. Gari aliyokuwa anatumia ni ya Iryn je aliikagua kujua kama kuna Camera zile za usalama ambazo mara nyingi ni ngumu kugundua kama sio mtaalamu wa hayo mambo. Pia vipi hiyo gari kama ina GPRS nayo inaonyesha location alipo hata kama kwenye simu ameondoa spy programs?

Kuna mifumo ipo sasa hivi mtu akitaka kujua mliyokuwa mnaongea anawapa pesa vijana wa taasisi fulani wana download maongezi yenu yote wanamtumia.

Bado Hilda na Sumaiya anawatafutia angle ya kuwatimua
Halafu sisi wanaume tukishakojoa akili inarudi kwa unayempenda huyo demi asitumie nguvu nyingi na uzuri wore anaosifiwa nao bado hajiamin??
 
Ubaya au uzuri ni kuwa tunajifunza kutokana na makosa

Aliyofanya insider tunafanya wanaume wengi sana

Kutoka na asmah ilikuwa terrible mistake bora hata angemla hilda than asmah sababu uhakika ni kuwa boss macho yake yako kwa asmah tu
Anavyofanya INSIDER MAN ni kidogo mno imagine mwanaume anaweza akaenda kulala na changed oasis baadae akutane na mwanamke mwingine na baadae mkewe.

Au alale na house girls il hali mkewe yuko another room by the mid night 🌙..

Naona INSIDER MAN anapokosea ni aina ya watu anaoharibia.
 
Anavyofanya INSIDER MAN ni kidogo mno imagine mwanaume anaweza akaenda kulala na changed oasis baadae akutane na mwanamke mwingine na baadae mkewe.

Au alale na house girls il hali mkewe yuko another room by the mid night 🌙..

Naona INSIDER MAN anapokosea ni aina ya watu anaoharibia.
Changed oasis??
 
Back
Top Bottom