Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

😀😀😀 mtu kaulizwa mara ya mwisho simu yako alishika nani akataja wewe iryn anaangalia jinsi ya ku spy maongezi ya asmah anaona hapati kitu duh, kweli apo moto unao mzee kama mama j umemuonea basi huyo iryn ni balaa vipi sasa kuhusu simu yako hiyo je hakuweka program ya kukufatilia?
 
Sema mwanangu ulikua na tamaa sana kwa Asmah, pisi kali nyingi mtaani za kupiga ilibidi ukaze sana maeneo yako ya kazi usiwe na mahusiano especially hapo ambako boss unatoka nae.
Ni fala sana huyu insider. Ana utoto mwingi sana, sema tu ana ngekewa kali sana. Akipunguza huu utoto wa kifala fala especially anavyo play idiotic games kwa mkewe na family life, angekua smart zaid.
 
Ahadi yangu iko pale pale Insider kasema ata niungisha Biryani akiweka tu order shangazi Aunt Najipost 😂😁🤣 shangazi MashaAllah shangazi kanyooka shangazi mwenye T zake 🤣 tatizo Django doer atanisumbua na vurugu zake inbox.
Kuna mtu anataka kuonana na dada yetu? Natoa offa ya biryani kwa ambae yuko karibu na dada yetu. Sahani 10 zinatosha sana.
 
Kuna mtu anataka kuonana na dada yetu? Natoa offa ya biryani kwa ambae yuko karibu na dada yetu. Sahani 10 zinatosha sana.
Gily Gru piga makofi Kwa INSIDER MAN ake Django doer asiwepo kwenye offer sio Kwa kunisumbua inbox akiniona ndo usumbufu utakithiri 🤣😂 shangazi sio shangazi kaja order nyingi nazipeleka personal madukani ofisini zingine bajaja na bolt wana supply nikisha tia kwenye package
 
Ahadi yangu iko pale pale Insider kasema ata niungisha Biryani akiweka tu order shangazi Aunt Najipost 😂😁🤣 shangazi MashaAllah shangazi kanyooka shangazi mwenye T zake 🤣 tatizo Django doer atanisumbua na vurugu zake inbox.
Yaani ww nikijua huo mgahawa wako kila siku ntaweka kambi hapo nataka pilau lako la kabul 💕😋😋😋.

We sikuachi mpaka tupeane joto 😊
 
Gily Gru piga makofi Kwa INSIDER MAN ake Django doer asiwepo kwenye offer sio Kwa kunisumbua inbox akiniona ndo usumbufu utakithiri 🤣😂 shangazi sio shangazi kaja order nyingi nazipeleka personal madukani ofisini zingine bajaja na bolt wana supply nikisha tia kwenye package
Mi order yangu utaniletea chumbani kipenzi 💋
 
INSIDER MAN , ngoja nikutoe ushamba.
Simu anayotumia Asmah alipewa na Iryn. Hiyo simu itakuwa inatumia Apple acc. ya Iryn. Kwa hiyo messages zote zinazoingia na kutoka lazima Iryn azione kwenye iMessage yake pia.
Chakufanya ni kubadili Apple Acc, kitu ambacho ni kigumu kwa sababu Iryn atajua kwa kuwa ndiye mwenye account
 
Back
Top Bottom