Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Bado tunahitaji kuwa anonymous wewe tegemea wateja muda wowote, hasa hilo eneo la chakula. Nguo nazo huu ndio muda wake kushona, kama una mdogo wa kike mshonee nione atakavyopendeza na afae kuitwa mke.. nakuja kulipia.
Sina wadogo sasa itakuaje 😁

Mie kujulikana hata sijali maana sina cha kuogopa na kuna member tumejuana humu JF tumekuwa marafiki njee hapa kama familia mfano Gily Gru na wengine siwezi kuwataja.

Nachoogopa usumbufu wa vijana wa hovyoo tu wasumbua mashangazi maana mie sio shangazi kaja ni Aunt 😂🤣
 
Ahsante Aunty
 
Bado washindi wa Kizoka (25k).

Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.

Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.
Kwa kizoka nilishatabiri huko nyuma

Na hapa kwa asma utahisi something fishy amekufanyia so utajiweka mbali naye baada ya kugundua hiyo something fishy 😂😂😂
 
Sina wadogo sasa itakuaje 😁

Mie kujulikana hata sijali maana sina cha kuogopa na kuna member tumejuana humu JF tumekuwa marafiki njee hapa kama familia mfano Gily Gru na wengine siwezi kuwataja.

Nachoogopa usumbufu wa vijana wa hovyoo tu wasumbua mashangazi maana mie sio shangazi kaja ni Aunt 😂🤣
Hahah, hilo ni jambo la heri sana kupata connections za maana kama hizi.

Vijana wachache sana ni wa hovyo saiv, wengi wanawaza maendeleo.
 
Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.

Vitu vingi tutaongea nikimaliza Season, kwa mtu mwenye degree ya Finance/Accounting/BA kidogo na Tax, Una CPA afu huna mchongo ni DM.

Private CPA ina matter sana
Watu huwa wana matatizo mengi mno. Mojawapo ni wivu mkubwa. Mtu anataka tu amjue Irene halafu aharibu. Hawajui wakati mwingine wanapishana na misaada yao iliyotumwa kutoka kwa Mungu. Msaada huwa hauandikwi "msaada".
 
Bado washindi wa Kizoka (25k).

Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.

Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.
Detail ndogo tu niliyogundua Irene alikua ametrack simu yako na ya Asmah. Ndo maana ulivyompeleka kwake ukasinzia aliweza kujua. Akapokea simu na kukata bila kuongea na wewe.
As for what will happen next I can't speculate.
 
Bado washindi wa Kizoka (25k).

Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.

Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.
Asmah anafukuzwa kazi chapter 15
 
INSIDER MAN ulishawahi kutuma email yako hapa na nika kutumia email lakini Mimi nilikuwa natumia email yenye domain ya Jamiiforums, na uongozi wa Jamiiforums waliwasiliana na Mimi kunipa taarifa kwamba email yangu wameifuta. Sina tena email yako. Nitumie email yako tena kama hautojali
 
Ukienda kwenye episode ya mwisho ya part one . Episode 70 utakuta unachokitafuta.
 
PM iko open, kama una sifa tajwa hapo juu nitumie CV asap. Huko PM kuweni serious, ndomana nimeacha kuzisoma, unakuta mesage zote ni ujinga tu. Mtu anaomba picha ya Iryn mara mtu anaomba namba ya Prisca, mara Asmah, kuna wengine hata siwajui wananitukana huko DM 😂🙌🏿. How come unamtukana mtu hata humjui na haja kukosea kitu?.
Mental health is really Mkuu 😂😂😂 pole kwa matusi
 
PM iko open, kama una sifa tajwa hapo juu nitumie CV asap. Huko PM kuweni serious, ndomana nimeacha kuzisoma, unakuta mesage zote ni ujinga tu. Mtu anaomba picha ya Iryn mara mtu anaomba namba ya Prisca, mara Asmah, kuna wengine hata siwajui wananitukana huko DM 😂🙌🏿. How come unamtukana mtu hata humjui na haja kukosea kitu?.
Duuh...! Binadamu tumetofautiana. Wengine wanahamishia hasira za maisha kwa wengine anaeona amefanikiwa.
 
We jamaa ukanifanya nikawa fala kila siku kusoma hii story haf macho yanavimba, Ila kiukweli UNAJUA mwamba, now niendelee na shugjuli zangu. Tchao!!
 
Back
Top Bottom