Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.

Vitu vingi tutaongea nikimaliza Season, kwa mtu mwenye degree ya Finance/Accounting/BA kidogo na Tax, Una CPA afu huna mchongo ni DM.

Private CPA ina matter sana
Muuu vp mweye Diploma ya Accounts?
 
Kwa kizoka nilitabiri tokanyuma kuwa utampa gari epsod ya 15 sasa acha nione
Bado washindi wa Kizoka (25k).

Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.

Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.
 
Asmah nayeye alishindwa ugwadu alokua nao mkapiga mechi so unamla asmah kimya kimya.
 
Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.

Vitu vingi tutaongea nikimaliza Season, kwa mtu mwenye degree ya Finance/Accounting/BA kidogo na Tax, Una CPA afu huna mchongo ni DM.

Private CPA ina matter sana
Naomba Nichek pm, pm yako imefungwa chief
 
PM iko open, kama una sifa tajwa hapo juu nitumie CV asap. Huko PM kuweni serious, ndomana nimeacha kuzisoma, unakuta mesage zote ni ujinga tu. Mtu anaomba picha ya Iryn mara mtu anaomba namba ya Prisca, mara Asmah, kuna wengine hata siwajui wananitukana huko DM 😂🙌🏿. How come unamtukana mtu hata humjui na haja kukosea kitu?.
 
Bado washindi wa Kizoka (25k).

Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.

Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.
Asmah ataingia ligi na Hilda yani watagombana au kununiana kisa wewe Asmah naye atataka umpeleke Zanzibar ili mkaenjoy!
Kisha Asmah atazinguliwa na Iryn au ataachishwa kazi ghafla kisa kutoka na wewe nawe utajitahidi kadri uwezavo kumtetea ila Iryn atagoma utamtafutia ishi ya Kufanya huko utakua unaenda kummega kisirisiri Kisha nae atabeba mimba yako
 
PM iko open, kama una sifa tajwa hapo juu nitumie CV asap. Huko PM kuweni serious, ndomana nimeacha kuzisoma, unakuta mesage zote ni ujinga tu. Mtu anaomba picha ya Iryn mara mtu anaomba namba ya Prisca, mara Asmah, kuna wengine hata siwajui wananitukana huko DM 😂🙌🏿. How come unamtukana mtu hata humjui na haja kukosea kitu?.
Nami nakuja kuomba namba za Mary, bila shaka hauna wivu... Au mdogo wake Jane
 
PM iko open, kama una sifa tajwa hapo juu nitumie CV asap. Huko PM kuweni serious, ndomana nimeacha kuzisoma, unakuta mesage zote ni ujinga tu. Mtu anaomba picha ya Iryn mara mtu anaomba namba ya Prisca, mara Asmah, kuna wengine hata siwajui wananitukana huko DM 😂🙌🏿. How come unamtukana mtu hata humjui na haja kukosea kitu?.
Nina dada yangu, hayupo JF amehitim last year account.

Naomba Kama hutajali umfikirie
 
Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.

Vitu vingi tutaongea nikimaliza Season, kwa mtu mwenye degree ya Finance/Accounting/BA kidogo na Tax, Una CPA afu huna mchongo ni DM.

Private CPA ina matter sana
He! Pole sana
 
Asante Mjomba 😂 ukija nitafute uniungishe Biryani halafu mpenzi wako ashone nguo na biashara 2 chakula kama part time job kila ijumaa fashion designer ndo mishe zangu za siku zote.
Bado tunahitaji kuwa anonymous wewe tegemea wateja muda wowote, hasa hilo eneo la chakula. Nguo nazo huu ndio muda wake kushona, kama una mdogo wa kike mshonee nione atakavyopendeza na afae kuitwa mke.. nakuja kulipia.
 
Bado washindi wa Kizoka (25k).

Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.

Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.
Asmah kwa chapter 15 natabiri aliamishwa company ile nyingine ya usafi ya mama janety au alifukuzwa kazi ili ireny awatenganishe
 
Back
Top Bottom