Muuu vp mweye Diploma ya Accounts?Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.
Vitu vingi tutaongea nikimaliza Season, kwa mtu mwenye degree ya Finance/Accounting/BA kidogo na Tax, Una CPA afu huna mchongo ni DM.
Private CPA ina matter sana