Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami ndo kilichonikutaDuuh hii story nilikua naiona tangu mwaka jana naipita. Sasa kila mara ina appear kwenye timeline. Tangu nmeifungua juzi sijafungua uzi wowote wa JF mpaka nimefikia alipoishia season 1 and 2...
Jamaa anajua kuhadithia.
Ingawa mwana hana marafiki wa kiume yeye ni pisi tu na ana ratiba busy sana. Najua kuna mambo mengi karuka ila kwa ufupi jamaa ni busy kwa namna yoyote.
🤣hukai mbali na fursaEmbu siku agiza ujilambe 😋😛 ukimuagizia na G atakuzalia mapacha 🤣 INSIDER MAN
Eeeh naona INSIDER MAN anapenda kula kula vizuri 😂 siku ya Ijumaa anipa order tu kuna saloon mikocheni Kwa Nyerere huwapelekea na bolt niliongea nae kila ijumaa ana nisambazia order zangu za biryani sitaki pesa ya kubashiri what is next on episode mie aniunge tu mkono biashara yangu .🤣hukai mbali na fursa
Haya mahanjumati nayapatajeEmbu siku agiza ujilambe 😋😛 ukimuagizia na G atakuzalia mapacha 🤣 INSIDER MAN
Njoo inboxHaya mahanjumati nayapataje
Toka nile pilau kabul sijawahi kuona pilau nyingine ni tamu.Embu siku agiza ujilambe 😋😛 ukimuagizia na G atakuzalia mapacha 🤣 INSIDER MAN
Ni lishangazi lenye rangi yake eenh?? Em siku ukijipost unitag na mimi,hakika ntaagizia jipilau Kabul ofisi nzima mpaka mlinzi😀😀Eeeh naona INSIDER MAN anapenda kula kula vizuri 😂 siku ya Ijumaa anipa order tu kuna saloon mikocheni Kwa Nyerere huwapelekea na bolt niliongea nae kila ijumaa ana nisambazia order zangu za biryani sitaki pesa ya kubashiri what is next on episode mie aniunge tu mkono biashara yangu .
Yaani siku najilipua humu najipost kutangaza biashara zangu 😂🤣 shida kusumbuliwa maana ni lishangazi elewa neno shangazi sio shangazi kaja.
Naomba msaada Episode 9, Chapter 2 siioni
Naona kulikuwa nashida hata mimi siioni, nimepost tena.Haipo. Nafikiri ilirukwa
Sister ulisema upo maeneo gani?Embu siku agiza ujilambe 😋😛 ukimuagizia na G atakuzalia mapacha 🤣 INSIDER MAN
boss insider ofisini hamujitaji mtu wa delivery? Nipe kazi bossSister ulisema upo maeneo gani?
Bado washindi wa Kizoka (25k).
Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.
Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.
Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.boss insider ofisini hamujitaji mtu wa delivery? Nipe kazi boss
mkuu insider mimi naomba hata email yako, kwwli mkuu kama unashida na mtu wa delivery unisaidie kaz mkuu wangu.Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.
Vitu vingi tutaongea nikimaliza Season, kwa mtu mwenye degree ya Finance/Accounting/BA kidogo na Tax, Una CPA afu huna mchongo ni DM.
Private CPA ina matter sana