Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Inakera sana, ma meneja na wahasibu rangi nyeusi.
 
Yaani nimecheka Sana umeandika Kwa hisia Kali Sana ww jamaa😂😂😂
 
Shusha uzi mzee
 
Ingekuwa mm simuulizi kitu chochote Iryn bali ningejitumia hizo sms nakula buyu siku akijichanganya ndo nambwatukia sasa
 
Ugomvi wa Iryn na INSIDER MAN hauwezi kuisha, kwa sababu Iryn anamzidi sana Insider kiakili. Ukisoma hii story utagudua kwamba most of the times, he thinks through his buttocks rather than brain.
Mkuu, hii ni story tu, why do you use such irritating words?
Isitoshe, kama Iryn ana akili kihivyo si angeshamuacha Insiderman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…