Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

hakuna kitu inakera kama hii kitu yaani. Mtu una ishi vizuri unapata mshahara mkubwa unapata muda wa kwenda kutomber ila unakosa muda wa kwenda bank watu wakapate hata hela ya kubadilisha mboga kama wewe? hata kama ni hadithi nafikiri wenye mamlaka epukeni saana mambo hayo yanaumiza sana. Mtu kuna muda anakosa hadi nauli ya kwenda lkazini alafu anasikia kuna mtu ame hold tu hela yake
Inakera sana, ma meneja na wahasibu rangi nyeusi.
 
Mkuu unakula bata hii dunia hakuna kama wewe. Huna baya mkuu hata kama ni uongo wewe ndio Umeshikilia MMU kwa sasa hizi stori zinahamasisha sana ngono yaani kila nikisomanwakumbuka ma ex wangu. Hata huku kwenye udalali tunakutana na Mabinti kama huko kwenye Ubber.

Na ukimaliza hii namimi nitaleta yangu huku Mkuu nishafanya udalali hadi wa kuwatafutia watu mashoga na wasagaji yaani hizi kazi nyingine njaa inakufanya Ufanye biashara yoyote ile.

Unakutana na demu wa mtu unamtafutia nyumba kiwanja au biashara nyingine na mwisho wa siku unamkula.

Unakutana na mwananume ameoa kabisa anakupa dili ukamtafutie mtu wa kumfi....
Yaani nimecheka Sana umeandika Kwa hisia Kali Sana ww jamaa😂😂😂
 
Shusha uzi mzee
 
Ingekuwa mm simuulizi kitu chochote Iryn bali ningejitumia hizo sms nakula buyu siku akijichanganya ndo nambwatukia sasa
 
Ugomvi wa Iryn na INSIDER MAN hauwezi kuisha, kwa sababu Iryn anamzidi sana Insider kiakili. Ukisoma hii story utagudua kwamba most of the times, he thinks through his buttocks rather than brain.
Mkuu, hii ni story tu, why do you use such irritating words?
Isitoshe, kama Iryn ana akili kihivyo si angeshamuacha Insiderman?
 
Back
Top Bottom