Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nani kajitahidi hapa?
Mkuu nani alijitahidi hapa nakumbuka ulisema ataetabiri episode 15 utampa 50K na ataepatia kusema Kizoka utampa gari episode ya ngapi utampa 25K
Alosema Zanzibar utaenda na mary alikua gudi lucky na alopatia kuhusu Kizoka nae ushampa chake ila alotabiri episode 15 hujatoa jibu sahihi
 
Asante sana mwamba. Umeeleweka pia.
 
kwan shda yako nn hapo s
ilhal ushaona watu washapewa chao
au ndo unafufua makabur ya kna knjekitile ngwale mzeee
au duuuuu hata bado hatujaipata idea yako mzee mwenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…