Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kesi ndogo sana hii mimi wife alitumiwa picha nimelala na kichanga pembeni..huo msala nilipambana nao na kuumaliza mimi mwenyewe bila kuhusisha watu
 
Sasa mbona unakata kwenye utamu
 
Kwa jinsi matukio ya huu ushuhuda wa Insider man unavyoendelea mimi huwa napenda ku forsee (kupata picha ya matukio ya mbele) ninaona jamaa akijikuta anamuoa mtoto wa Kihabesh na hivyo kuwa na wake wawili chezea kupata zari la mtoto mwenye pesa wewe
 
Hivi kama ni wewe unaweza kufanyaje,mke mkubwa anamfaham,mama mkwe kisha lambishwa asali ua umesahau ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…