PoaNew story nayo kali... [emoji116]
![]()
Kazi iliisha zamaan sana nyie tu ndio mlikua mnampa moyo wa kutunga tunga uongoKazi ipo
“Iryn amekuja home kutusalimia na yuko sebleni anacheza na Junior.”
Nilishtuka sana kupewa hizi taarifa na wife na nilijiuliza amekwenda kufanya nini home na lile tumbo lake?, kwanza sikuwa na wazo kwamba atakwenda home na nilianza kuingiwa na wasiwasi, na jasho lilianza kunitoka…”
Mimi nilipatia asmah akaja akataja wengine waliotabiri wiki mbili baadae.INSIDER MAN nimepitia comment vizuri nimerealize mimi ndio mshindi wa task zote mbili (ya hilda na ya kizoka) please reconsider your previous ruling
post yangu ilikuwa no 12,991 while post ya uliyempa ushindi ilikuwa 13,001 sina maana mbaya bali i rise my case.
N.B hakukuwa na vigezo kwa yoyote atakayepatia majibu yote mawili
Thanks
Hajaleta hadi leo kaka. HAHAHAHAIna maana haja leta tena