Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sasa mbona unakata kwenye utamu
 
Kwa jinsi matukio ya huu ushuhuda wa Insider man unavyoendelea mimi huwa napenda ku forsee (kupata picha ya matukio ya mbele) ninaona jamaa akijikuta anamuoa mtoto wa Kihabesh na hivyo kuwa na wake wawili chezea kupata zari la mtoto mwenye pesa wewe
 
Hivi kama ni wewe unaweza kufanyaje,mke mkubwa anamfaham,mama mkwe kisha lambishwa asali ua umesahau ?
 
INSIDER MAN nimepitia comment vizuri nimerealize mimi ndio mshindi wa task zote mbili (ya hilda na ya kizoka) please reconsider your previous ruling
post yangu ilikuwa no 12,991 while post ya uliyempa ushindi ilikuwa 13,001 sina maana mbaya bali i rise my case.
N.B hakukuwa na vigezo kwa yoyote atakayepatia majibu yote mawili
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…