Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
“Iryn amekuja home kutusalimia na yuko sebleni anacheza na Junior.”
Nilishtuka sana kupewa hizi taarifa na wife na nilijiuliza amekwenda kufanya nini home na lile tumbo lake?, kwanza sikuwa na wazo kwamba atakwenda home na nilianza kuingiwa na wasiwasi, na jasho lilianza kunitoka…”
Mimi nilipatia asmah akaja akataja wengine waliotabiri wiki mbili baadae.INSIDER MAN nimepitia comment vizuri nimerealize mimi ndio mshindi wa task zote mbili (ya hilda na ya kizoka) please reconsider your previous ruling
post yangu ilikuwa no 12,991 while post ya uliyempa ushindi ilikuwa 13,001 sina maana mbaya bali i rise my case.
N.B hakukuwa na vigezo kwa yoyote atakayepatia majibu yote mawili
Thanks
Hajaleta hadi leo kaka. HAHAHAHAIna maana haja leta tena
Hat mimi imekuwa hvyo..Imefika mahali akiweka kitu yaan niwaze kuconnect matukio au nitafute episode iliyopita kuconnect matukio
Hat mimi imekuwa hvyo..
Maana ni muda na matukio yanapotea kichwani
Umeifufua ID yako hii baada ya ile nyingine wadau kushtukia sio.Kumbe story inaendelea alaf hamniambii jaman