Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Noma noma
 
Alez von lumor ndo mshindi kwa upande wa Kizoka ndo wakwanza kupatia.

Kuhusu kwenda Znz na Hilda kuna jamaa alishinda alikuwa wakwanza kupatia, tulishamalizana.

Kuhusu Asmah hakuna aliyepatia kama yupo screenshot utabiri wako, tumalizane mapema
#12980 nilitabiri asma ataacha kazi ghafla, nilikuwa wa kwanza.
 

Attachments

  • Screenshot_20240803_092541_Chrome.jpg
    434.2 KB · Views: 13
Hii story bado characters wawili kuchezea rungu .. hii ya Mary nilitegemea.. bado mdogo wake Jane na mtoto wa mama wawili .. siku Insider akijichanganya akamla Jane basi mzimu wa Mzee Pama utamtokea 😂😂
Hata jane mwenyewe
 
Ebu watu wa jf punguzeni njaa, mnakera sana, mtu amekwambia anakulipa, aache kuangaika mambo yake kila wakati unamtumia notification ya kumkumbusha.
Mkuu nimeishinda hiyo alafu punguza shobo kama mimi ni mwenye njaa unapungukiwa na nini?
 
Ebu watu wa jf punguzeni njaa, mnakera sana, mtu amekwambia anakulipa, aache kuangaika mambo yake kila wakati unamtumia notification ya kumkumbusha.
Ahadi ni deni mkuu kwa kifupi insaida ni mdaiwa na ningekua mimi ningemchukulia samansi kabisa asilete ubabaifu anashindwa nini kutuma all that long mtu anasema anahongwa 7 figures ndo mjue humu ndani tunanyweshwa chai ya tangawizi ukute ye mwenyewe hata buku ya kiwembe hana..boma liwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…