phantomnation
Member
- Jun 8, 2022
- 58
- 106
Woooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivyo niliwasha gari kuondoka maeneo haya na break yangu ilikuwa moja ya hotel ipo nyuma ya “Alpha school” Mikocheni
Noma nomaSEASON 02
EPISODE 22
PREVIOUS:
Nilimwacha afu nikaanza kujifikiria niondoke naye au nirudi home? Maana kufikia stage hii Mary asingeweza kuwa na jeuri ya kunikazia, kuondoka nae ilikuwa ni lazima 100%.
Wakati naendelea kutafakari, alianza kuongea pale,
“Insider where are you taking me?”
“I don’t know.”
CONTINUE:
“Please take me home.”
“Do you want me to take you home?”
“Yes, please.”
“Ok let’s go.”
Alitaka nimpeleke home na nilianza safari ya kuondoka maeneo haya, sasa wakati tunatoka pale Coco alisogea akanilalia mapajani na alianza kunichezea ndevu zangu, hakuishia hapo alianza kuingiza mkono kwenye kingdom yangu, hapa sasa akaamsha muwashawasha wangu nikawa sina ujanja na ilinibidi nitafute eneo la kupark gari.
Nilikuja kupark gari hapa opposite na Village supermarket kwenye makutano ya Haileselasie na chole road, Uber pia wanapenda sana kupark hapa, bhasi tulianza romance upya maana muda huu hata mimi kwa upande wangu engine ilikuwa moto sana.
Nilianza kurub, kulick na kus*ck vifuu vyake kwa fujo sana na bila kuchelewesha nilianza kutalii hifadhi ya Ngorongoro japo ilikuwa ni usiku lakini niliweza kuyatambua mazingira yake vizuri sana. Mary alikuwa yuko Sayari nyingine kabisa na alionesha kuwa na upwiru sana maana hifadhi ilikuwa na maji sana kama mvua kubwa ilinyesha.
Niliendelea kuset antena yake ya kwenda Mars kama Elon na ulisikia mlio wa kelele kubwa na hapa nikajua engine ishamwaga maji na kilichobaki ni kuenda kumalizia utalii wetu. Sikuona sababu ya kumchelewesha, hivyo niliwasha gari kuondoka maeneo haya na break yangu ilikuwa moja ya hotel ipo nyuma ya “Alpha school” Mikocheni, chap nilifanya malipo ya room tukaingia ndani.
Baada ya kuingia room tuliendeleza zoezi letu na this time sikutaka kupoteza muda, kwani nilishusha vioo vya gari vyote ili niweze kuona uumbaji wa Mungu live bila chenga. Aisee nilifanikiwa kwakweli maana mtoto kabarikiwa kuwa na hifadhi nzuri sana tena imetuna na imejaa vizuri, sikujutia pesa yangu ya kiingilio.
Niliendelea na umakini wangu kwa kuendelea kutalii maeneo mengine na nilifanikiwa kukamata vizuri nyash yake na nilianza kuhakikisha kama kweli ni laini kwa kwa kubinyabinya kwa utaratibu. Muda wote alikuwa kimya zaidi ya kutoa milio ya radi na mvua ikiendelea kumwagika, nilimkunja vizuri kwa ajili ya kuanza shughuli na nilimsikia akianza kuongea;
“Insider…..not today, please.”
“What? Are you serious?”
“Please take me home, I can’t do this today.”
Just imagine naona kila kitu live na anasema hivo, sikutaka kumforce na nilimwambia avae nguo tuondoke sababu hakuwa kwenye akili yake, kumla ningekuwa nimefanya kosa kubwa sana maana hajitambui. Sheria yangu siwezi kula mwanamke ambaye amelewa otherwise awe dem wangu au tuna historia, nje na hapo siwezi kabisa maana ni kubaka.
Niliona nimuache na kama kunibless, bhasi awe kwenye akili yake ya kujitambua, afanye maamuzi huku anajielewa na sio kujutia baadae ukizingatia nina historia na mdogo wake.
Nilimpeleka mpaka kwao na kabla hajashuka alinivuta akanipa tongue kwa sekunde kadhaa, kisha nikasubiri aingie ndani na mimi ndo kuondoka kurudi home.
Baada ya kurudi home nilimkuta wife kalala sebleni peke yake na mezani kulikuwa na bible, nilijiskia vibaya sana ikanibidi nimuamshe pale ndo kwenda chumbani kulala.
Asubuhi wife aliniamsha nijiandae ili twende church misa ya pili, ni kitambo kidogo nilikuwa sijaingia church, hivyo nilikubali kinyonge kwenda na niliamka nikaanza kujiandaa.
Tuliondoka familia nzima kwenda church na wife alinambia nisiondoke kutakuwa na kikao cha vijana na mchungaji, hivyo nisubiri maana ni muhimu sana kuwepo kwenye hiko kikao.
Kipindi nakwenda church niliacha simu chaji sasa ile kurudi mchana nakutana na missed call 9 kutoka kwa Mary na missed call 3 kutoka kwa Prisca, nikajisemea mtu na dada yake wamenitafuta nitakuwa nimeshaharibu mambo huko.
Mary alikuwa kanitumia na messages pia, nilifungua ili nisome ujumbe aliokuwa amenitumia maana alituma texts nne ambazo zilisomeka;
“Hi Insider, why can’t you pick-up my phone calls?”
"I’m sorry for today. I know you’re angry with me for what I did."
“Please pick up the phone, let’s talk about this please.”
“But I’m glad you saw me.”
Nilitabasamu na palepale nikampigia simu ili nimsikilize na haikuchukua muda alipokea tukaanza maongezi,
MIMI: “Nambie mummy unaendeleaje?”
MARY: “Naendelea vizuri vipi kuhusu wewe?”
MIMI: “Niko poa, sorry nilikuwa church, afu niliaacha simu chaji ndomana calls zako zikawa hazipokelewi.”
MARY: “Nilianza kuwa na wasiwasi labda umenimind.”
MIMI: “Niko sawa hata usiwe na wasiwasi I understand, kwanza sorry haikuwa nia yangu kukufanyia vile ni pombe.”
MARY: “No, I’m cool with that, I enjoyed it and thank you.”
MIMI: “Really?”
MARY: “Thanks for everything Insider jana nilipendeza kwaajili yako.”
MIMI: “Prisca amenitafuta pia, anajua kinachoendelea?”
MARY: “Yeah anahisi jana nilikuwa na wewe maana karudi jana home night, wakati nimeondoka kuja kwako.”
MIMI: “Sitaki kuwaingiza kwenye ugomvi na Prisca na nikavuruga mahusiano yenu.”
MARY: “Ni kweli Insider, badae twende kwa dada Jane tukamsalimie.”
MIMI: “Sawa tutawasiliana hilo badae.”
Baada ya kumalizana ka Mary nilijifikiria nimpigie Prisca ili tuongee na nimsikilize anasema nini, nilimpigia simu na kubwa alisema ananisalimia hata hakuuliza kuhusu Mary, tuliendelea kupiga story pale na tukaagana.
Jioni niliondoka kwenda kwa Jane na nilimpitia Mary tukaendelea na safari, lakini sasa alikuwa na aibu sana hata kuniangalia ilikuwa ni kwa mbinde sana, nilimsoma nikawa nampa story ucheshi ili awe comfortable.
Baada ya kuwasili kwa Jane tulikaribishwa ndani na uso kwa uso nakutana na Vicky amekaa seblen na dada yake. Jane baada ya kutuona alifurahi sana maana hakutegemea ujio wangu na tulisalimiananna nikaenda kukaa na Vicky.
JANE: “Guys kwa surprise ya leo naona twende sehemu tukale dinna.”
VICKY: “Dada Jane tulichemsha kuku wa nini?”
JANE: “Sawa dogo utakula Kuku sisi tunatoka, ngoja nikaoge guys soon nitakuwa hapa.”
MARY: “Nipe mume wangu nimshike.”
VICKY: “Kwahiyo tunakwenda wapi?”
JANE: “Nikirudi tutadiscuss pamoja.”
Vicky hakupenda suala la kutoka out na mimi nilianza kumzingua kwa kumwambia tutamuacha alinde nyumba, bhasi akaanza kunipiga kichokozi na muda huu Mary alikuwa akituangalia kwa kuibia sana.
Baada ya Jane kurudi tuliona ni bora tukaenda sehemu ya karibu home, na Bahari Beach hotel ndo ilikuwa sehemu sahihi ya kwenda, bhasi tuliondoka wote mle ndani kuelekea huko.
Baada ya kuwasili pale hotelini tuliamua kukaa upande wa juu na kila mmoja aliagiza chakula huku story zikiendelea, mimi nilikuwa busy sana na Mary na tulikuwa tunajadili kuhusu kazi anayotaka kuanza na suala la kupanga.
Baada ya kula dinna tuliagiza vinywaji na mimi niliishia kuagiza wine tu ambayo tulishare na Mary, kwa upande mwingine Lucy alianza kunipigia simu, iliita mara ya kwanza nikaipotezea, ikaita mara ya pili nikatoka kwenda pembeni kuipokea, nilihisi kuna jambo muhimu anataka kuongea na mimi;
LUCY: “Bossy mambo, sorry nakusumbua utakuwa batani.”
MIMI: “Sina wa kutoka naye afu na wewe ushakuwa mke wa mtu.”
LUCY: “Ahh bhana! Hio sio sababu ni hujataka tu.”
MIMI: “Niambie una jambo gani?”
LUCY: “Insider nambie ukweli kama jambo ni kweli, please usinidanganye.”
MIMI: “Umeanza kunitisha, leo inaonekana kuna jambo zito sana, nakusikiliza.”
LUCY: “Upo kwenye mahusiano na Asmah?”
MIMI: “No.”
LUCY: “Labda nibadili swali, Did you and Asmah have sex recently?"
MIMI: “No.”
LUCY: “Are you sure? It’s better ukawa mkweli.”
MIMI: “Trust me Lucy, hakuna jambo lolote kati yangu na Asmah, mbona maswali mengi kuna nini?”
LUCY: “Iryn amenipigia simu leo tumeongea kama lisaa pamoja na ishu ya Landlord, anadai wewe na Asmah mmesex hivi karibuni na huenda mna mahusiano ya siri sana, ila ameamua kunyamaza.”
MIMI: “Umemuuliza hizi taarifa kampa nani? Maana asijekuwa anapewa taarifa ambazo si kweli nayeye anazipokea tu.”
LUCY: “Insider Iryn ni zaidi ya CIA naamini kama kweli umefanya bhasi anajua kinachoendelea, tatizo lako unajisahau sana mshikaji wangu.”
MIMI: “Hamna kitu kama hiko na niko makini sana maana najua ananifuatilia.”
LUCY: “Bhasi elewa hivo, na mmefikia wapi mpaka sasa?.”
MIMI: “Ngoma bado ngumu sana.”
LUCY: “Insider yule ni mjamzito wewe ndo chanzo ya haya yote, unatakiwa uyamalize acha kuleta ubeberu.”
MIMI: “Sasa kama ameniblock mimi nafanyaje?”
LUCY: “Tafuta means yoyote ya kumcheki hata kwa mail ya ofisini, snapchat sema hujataka tu.”
MIMI: “Lucy yule ni mtu mzima huna haja ya kuwa na wasiwasi kama ni mtoto anajua nini anafanya, kama hayo yote nishafanya.”
LUCY: “Ngoja niwaache na mapenzi yenu, kuhusu Landlord amesema tumuulize bei anauzaje then nimjulishe, naomba uongee na mzee bhasi ili tumpe feedback mapema.”
MIMI: “Sawa haina shida kesho mapema nitaongea nae afu nitakupa feedback.”
LUCY: “Kesho tena na sio leo?”
MIMI: “Kufikia kesho asubuhi nitakuwa na majibu niachie hili.”
LUCY: “Okay sawa byee.”
Baada ya kuachana na Lucy niliwaza kwa sekunde kadhaa nikahisi hili jambo la Asmah huenda kweli Iryn anajua kinachoendelea, swali lililonijia kichwani kama kweli amejua kinachoendelea why anyamaze kimya kipindi kile tumeonana Serena Hotel??.
Niliamua kurudi zangu kujumuika na kina Jane na ile kukaa kwa kiti Mary alianza kuniuliza nilikuwa wapi na mbona nimechelewa sana?, Ni swali ambalo sikulitegemea kabisa na ilibidi nimdanganye ni masuala ya kiofisi.
Tulikubaliana tuondoke mapema ili tukajiandae kwaajili ya jumatatu na kabla ya kuondoka Jane aliniita pembeni kunishukuru kwa kuyamaliza na Mary na alisema tutawasiliana ili tuonane katikati ya wiki.
Niliondoka na Mary kurudi home, sasa kipindi tupo njiani nilikuwa nikimsifia sana jinsi alivyoumbika na yeye aliishia kutabasamu tu na nilimsifia amebarikiwa nyashi laini na hapa alicheka.
*****
Jumatatu asubuhi kabla ya kwenda ofisini nilipitia kwanza Morocco kuonana na jamaa na alikuwa kashusha gari mpya, nilitokea kuipenda Premio na nikamwambia akamilishe masuala ya registration nitaipitia badae na niliamua kuisajili kwa jina la wife.
Baada ya kufika ofisini nilimkuta Winny kafika mapema maana alikuwa yuko zam, hivyo aliwahi mapema, na ile kuniona alikumbushia zawadi yake ikabidi nimpe elfu 30 ya kumpendezesha Mary na nikachoma ndani.
Nilicheki mails kama kuna taarifa yoyote kutoka kwa maboss lakini hakukuwa na taarifa zozote na niliwatumia ripoti ya week, nikaendelea kuandaa hesabu za VAT kwaajili ya kufile TRA.
Nilikumbuka kumpigia simu Landlord kuhusu kuongea gharama ya nyumba na yeye alisema anauza nyumba kwa Tshs. billioni 2, nilishtuka sana baada ya kusikia hio bei na nilimwambia tutampa jibu soon.
Gharama ya nyumba ilikuwa kubwa sana sijui sababu ya location ni Mikocheni maana hata kiwanja kilikuwa na ukubwa wa 30x30 sqm. Nilimpigia simu Lucy kumpa feedback hata yeye alibaki akiduwaa baada ya kusikia hio amount na alisema kwa hio bei, Iryn hawezi kununua ni bora tukatafuta sehemu nyingine ya kufanyia biashara.
Mida ya mchana Mary alinipigia simu na kubwa alikuwa ananisalimia na alisema kuna rafiki yake amelipenda wigi lake, hivyo atamleta ofisini na mimi nilifurahi kusikia hizo taarifa na tulianza kupiga story zingine ndo kuagana.
Baada ya kuongea na Mary mawazo yalianza kunijia kichwani hasa zile romance tulizokuwa tunapeana ile siku na nilijikuta nasimamisha mnara wa babeli kwa kasi sana.
Suala la kudate na Mary binafsi lingekuwa gumu hasa ukizingatia tayari nina historia na mdogo wake, niliwaza sijui nipite naye kibishi?, lakini nikaona hapana Mary anajitambua na hawezi kuniruhusu kufanya ujinga kama huu, ile siku zilikuwa ni pombe haikuwa akili yake.
Hilda hii siku hakuja ofisini maana alinipa udhuru mapema na sababu kubwa alisema tumbo linamsumbua sana. Niliondoka na Nolie kwenda kupata lunch moja ya mgahawa wa karibu na ofisi yetu, na hii siku tulipiga story sana na kubwa alikuwa kamaliza UDSM, story zilikuwa motomoto.
Jioni nilikwenda kwa Sumaiya ili nimkabidhi gari yake, nilikuwa nimetimiza ahadi yangu kama nilivyokuwa nimeahidi na yeye aliishia kufurahi sana. Kwa upande mwingine nilimuuliza kama walionana na mama, alisema walionana na alimuaga kuwa anatarajia soon kwenda Europe ila hawakuongea jambo lolote jipya.
Nilimkabidhi gari yake na kumpa baadhi ya maelekezo kuhusu gari na nilimuaga kwa kumtia kofi la kalio, nikaondoka kwenda Morocco kuonana ka jamaa maana alikuwa kashanipa taarifa kila kitu kipo tayari.
Baada ya kuwasili kwa jamaa nilifanya malipo nikakabidhiwa gari na nilipitia kwanza sheli nikajaza wese full tank, huyo moto kurudi home, sasa ile napark gari namuona wife anatoka nje na akakaa kibarazani, hakujua ni mimi niko ndani ya gari.
Baada ya kushuka nilianza kuikagua gari tena, kwa mara nyingine ofcourse ilikuwa imenyooka sana na wife alisogea karibu tukaanza story;
“Baba J hii gari ni mpya umenunua?”
“Yeah kama unavyoona namba E mpya kabisa.”
“Umeagiza Japan kama ile ya kwanza?”
“No hii nimenunua showroom.”
“Unanunua gari mimi hata sijui kuendesha, kuna siku utaumwa huko ndani afu utakosa msaada shauri zako.”
“Nilikwambia uanze mafunzo ila hutaki, sitaki lawama.”
“Nikifunga chuo nitaanza na mimi nitanunua gari yangu.”
“Najua unahela mzee kashakupa urithi nini?”
“Namichongo yangu ikitiki tu nanua gari yangu.”
Tuliingia ndani huku tunapiga story na yeye alionesha kuwa na furaha sana hii siku.
Nilikuwa nimetulia chumbani nikiangalia picha zangu na Iryn ambazo tumepiga maeneo tofauti na nilijikuta naanza kum-miss sana kwakweli na bado alikuwa kanipa kufuli.
Nilianza kujiuliza maswali magumu na kujijibu mwenyewe;
“Hivi mimba ya Iryn kweli ni yangu? Siamini kama kweli kabeba mimba yangu. Mhh ila kama sio yangu asingenambia, sidhani kama anaweza kunibambikia mimba ambayo sio yangu, yule mtoto ni wangu.”
Niliona haina haja ya kuwa Beberu kama Lucy anavyodai na nilitoa simu nikafungua snapchat nikamtext kuonesha nimemmiss yeye na mtoto tumboni, na baada ya nusu saa niliona ameisoma ile message, japo hakunijibu.
*****
Siku ya Alhamisi Iryn alinitafuta na nilifurahi sana kuona simu yake ikiita na nilipokea tukaanza mazungumzo,
MIMI: “Nambie mke wangu leo umeamua kunisurprise.”
IRYN: “I’m not your wife, I’m just wasting my time on someone else's husband.”
MIMI: “Wewe ni mke wangu tambua hili.”
IRYN: “Nimemaliza mitihani tayari, nadhani unakumbuka kuhusu jambo letu la kwenda Ethiopia?.”
MIMI: “Yeah nakumbuka kipenzi changu lakini sitoweza kwenda kwasasa, naomba uwaambie najipanga na tutakuja.”
IRYN: “Unajipanga mpaka lini? Do you really think watanielewa?”
MIMI: “Baby, kwanini wasikuelewe? Point ni kwamba nataka nitafute ndugu wa kwenda nae pamoja Ethiopia, mimi niko pamoja na wewe na naomba uwahakikishie wazazi mimi nakuja.”
IRYN: “Nataka kusikia kutoka kwako ni lini utakuja?”
Hapa sasa sikuwa na jibu la kumpa moja kwa moja maana niliona nitajiweka kitanzini kwa kumpa ahadi ya uongo, na nilinyamaza kwa sekunde kadhaa, na aliendelea kuongea,
“Darling, please tambua hili ni kwaajili ya huyu mtoto, uwepo wako pale ni wa muhimu sana.”
MIMI: “Baby wazazi wanataka assurance ya ndoa wala sio kingine, na wewe unajua fika hili haliwezekani, sasa naomba uwaambie wazazi ukweli kuhusu mimi. Ni bora tukawa wakweli mapema kuliko kudanganya na kuleta matatizo makubwa huko mbeleni na mtoto kwa ujumla.”
IRYN: “Yaani! Unataka niwaambie wazazi ukweli kuhusu wewe, naona ni jinsi gani humpendi na humtaki huyu mtoto.”
MIMI: “Why baby nawapenda wote.”
IRYN: “Si kweli, usingesema hivo nafikiri hujacalculate risks ambazo zitatokea baada ya kuwambia ukweli kuhusu wewe, please.”
MIMI: “Embu wewe niambie, tuwadanganye kuhusu kukuoa na nisitimize ahadi yangu, huoni kama nitakuwa najiweka matatizoni?. Mimi naona waambie ukweli kuwa ilitokea bahati mbaya na huyu mtoto hana hatia, na upo tayari kuzaa, wazazi watakuelewa na hakuna binadamu ambaye hajawahi kukosea.”
IRYN: “Nitakuwa nimejitengezea mazingira magumu sana kule nyumbani kama nitasema hivo, kwanza wale ni watu wazima watasema hakuna mimba ya bahati mbaya, naweza kutengwa hivihivi.”
MIMI: “Naomba umshirikishe na mzee kuhusu hili jambo afu uone anasemaje, wale ni familia yako lakini baba yako bado ananguvu juu ya maamuzi yako.”
IRYN: “Mzee hana shida kuhusu hili na anafahamu kinachoendelea, tatizo ni kwamba nitatengwa na familia ya upande wa mama, hawa ndo mama zangu na ndo ndugu zangu ambao naweza kukimbilia na wakanisaidia. Ndugu wa Baba wapo separate na wengi siwajui, nilishakwambia historia ya Baba maisha yake yote amekulia South na historia ya kizazi chake tangu Boer trek. Just think leo hii nikigombana na familia ya mama nitakimbilia wapi? Kumbuka Mzee hana maisha marefu sana ni pesa ndo zinamfanya aendelee kuishi.”
Ukweli alikuwa kaongea point tupu lakini sasa mimi bado sikuwa tayari kwenda Ethiopia kutoa ahadi za uongo,
MIMI: “Mummy nakujua wewe ni moja ya wanawake strong na unaweza kujieleza, naamini hili hutashindwa na litapita na naomba utambue mimi niko pamoja na wewe kwa kila hatua.”
IRYN: “Upo pamoja na mimi? Ungekuwa umekubali twende Ethiopia, now I realise you’re wasting my time.”
Na alikata simu pale kwa hasira,
Niliamua kuachana nae kwa lengo la kumtafuta badae na kumbembeleza ili akae sawa, japo kwa upande wangu bado nilikuwa nina wasiwasi sana maamuzi yangu, na nilijisemea kama nitamkosa mtoto bhasi sitapaswa kujilaumu kwa hili.
Kesho yake wakati niko ofisini mama alikuja pale ofisini na mimi nilikuwa ndani, sikuwa najua kinachoendela ni Hilda ambaye alikuja kunitonya kuwa mama yuko around, ndo kutoka ili nikaonane nae.
Mama alikuwa nje anaongea na simu, nilisogea mpaka usawa wake nikamsalimia na nikamwacha aendelee kuongea na simu lakini sasa alianza kuondoka kwenda kwenye gari, na mimi niliendelea kumfuata kwa nyuma.
Nguvu ya kumuita nilikuwa sina sababu isingekuwa heshima kumuongelesha wakati anaongea na simu, niliona ni busara nikasubiri kwanza amalize, kisha na mimi nianze kuongea nae.
Mama baada ya kufika kwenye gari yake alisimama na alikuwa kamaliza kuongea na simu na mimi niliamua kumuita;
“Mama…”
Aligeuka,
“Yes, I’m listening.”
“Sorry for the disturbance, but can I have 3 minutes to speak with you, please?”
“I'm currently busy and unable to talk right now. Insider, you have caused a lot of trouble for Iryn. All the best.”
Alifungua mlango wa gari akaingia na kuondoka na kuniacha nimebaki kwenye mataa,
TO BE CONTINUED.
#12980 nilitabiri asma ataacha kazi ghafla, nilikuwa wa kwanza.Alez von lumor ndo mshindi kwa upande wa Kizoka ndo wakwanza kupatia.
Kuhusu kwenda Znz na Hilda kuna jamaa alishinda alikuwa wakwanza kupatia, tulishamalizana.
Kuhusu Asmah hakuna aliyepatia kama yupo screenshot utabiri wako, tumalizane mapema
uMapema ndo best[emoji2]
BBEtter iwe sio kweli aisee mana tushaliwa nauli sana na ma jezebel vibinti vya pontio pilato humuAaaah Mwanangu sio kweli 😉
Hata jane mwenyeweHii story bado characters wawili kuchezea rungu .. hii ya Mary nilitegemea.. bado mdogo wake Jane na mtoto wa mama wawili .. siku Insider akijichanganya akamla Jane basi mzimu wa Mzee Pama utamtokea 😂😂
Jamaa weweNilikuwa nasubiri uridhie Alez von lumor kesho tuta set-off mapema
Anko leo ni sunday ahadi bado hujatimiza😢😢Nilikuwa nasubiri uridhie Alez von lumor kesho tuta set-off mapema
Ebu watu wa jf punguzeni njaa, mnakera sana, mtu amekwambia anakulipa, aache kuangaika mambo yake kila wakati unamtumia notification ya kumkumbusha.Anko leo ni sunday ahadi bado hujatimiza😢😢
Mkuu nimeishinda hiyo alafu punguza shobo kama mimi ni mwenye njaa unapungukiwa na nini?Ebu watu wa jf punguzeni njaa, mnakera sana, mtu amekwambia anakulipa, aache kuangaika mambo yake kila wakati unamtumia notification ya kumkumbusha.
BadoMbona sielewielewi.. ameweka muendelezo ?? Au??
Hujauona annie?Mbona sielewielewi.. ameweka muendelezo ?? Au??
Ahadi ni deni mkuu kwa kifupi insaida ni mdaiwa na ningekua mimi ningemchukulia samansi kabisa asilete ubabaifu anashindwa nini kutuma all that long mtu anasema anahongwa 7 figures ndo mjue humu ndani tunanyweshwa chai ya tangawizi ukute ye mwenyewe hata buku ya kiwembe hana..boma liwanzaEbu watu wa jf punguzeni njaa, mnakera sana, mtu amekwambia anakulipa, aache kuangaika mambo yake kila wakati unamtumia notification ya kumkumbusha.