Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

We ndo fala, utashikwaje kinyeo na mwanamke
 
Iv INSIDER MAN katika misukosuko yako hujawaiii kumkutaa au kumhisii mama j anakucheat na ki ben 10 ukoo maana kilaa siku vipengele kwako unampiga matukiioo tu mengne anashtukia mengne yanampta yeye ametulia tu?
Tatizo la wanawake ni kuwafuatilia. We wa ignore tu na mishe zao maana ukiwafuatilia, hata mishe huwezi kufanya: UTASAWAJIKA, UTADHOOFIKA, UTASIKITISHWA, UTADHALILISHWA na UTAKATA TAMAA ya kila kitu. INSIDER MAN anavumilia mengi kwenye gubu la mamaJ. Hakuna haja ya kumfuatilia au kumuwazia mabaya mwanamke uliyezaa naye. Kufanya hivyo ni kuyataka maji yapande mlima bila pump.

Wewe fanya majukumu yako, baasi. Hakuna faraja kubwa kwa mwanamume kama kuwa na ALTERNATIVE huku ukijua wako wengine wanaokumezea mate
 
Una hoja nzuri, Hilo nalo naagiza mlakitazame
 
Asizalimishe urithi as long anakipato chake na watu wanaompenda aendelee na maisha yake. Haya mambo ya kugombania urithi haunaga misho mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…