Hi kaka angu Kigi๐unataka kujua nini kimemtokea nani?
Hellooo beautiful! nishapandishwa cheo kuwa kaka kutoka kuwa Babe?Hi kaka angu Kigi๐
Babe gani hata hanitafuti?๐Hellooo beautiful! nishapandishwa cheo kuwa kaka kutoka kuwa Babe?
๐คฃ๐คฃ๐คฃINSIDER MAN angalia namna ya kuipangilia hii stori kwa kupin vipande kwenye page ya kwanza kama mwanzo maana nilipotea kwa muda ila noemrudi na kuanza kutafuta nilpoishia sijapaona tena.
Au hata mods wasaidie kwenye hili.
Something fishy.. Nikaenda kuogaNaona saa hii mwanetu katoka kwenye "kwa upande wangu" amekuja na "Nilishindwa kumkatalia/ Sikuona sababu ya kumkatalia" hajui kukataa kabisa linapokuja swala la mademu ndugu yetu yaniiiii.
๐คฃ ๐คฃ Nikahisi something fishy kinaendelea kati ya.............Something fishy.. Nikaenda kuoga
Something fishy.. Nikaenda kuoga
Atmueleza baba yake kuhusu ujauzito wa IreneInsider Wanna man....
Atakae weza kuotea nilichoongea na mzee wangu kule Zambia atajishindia kitita Cha laki moja kesho, stay tuned!
Asante mkuu nimeiona. Mwamzo nilikua nakumbuka kua niliiona ila sikujua ni page ya ngapiIpo ukurasa alipo maliza part one. I think episode 70 kama sijakosea. Mwaka Jana around October kama sio Nov
Kwani nilikua nishaanza kummiss tayari...Sikutaka kukaa sana maeneo yale...
3 people are here
Jamani tawanyikeni mkihitajika mtaitwa
๐โโ๏ธ
cacutee3 people are here
Jamani tawanyikeni mkihitajika mtaitwa
๐โโ๏ธ
Sikutaka kukaa sana maeneo yale...