Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

IMG_8681.jpeg
 
View attachment 3071133
Hapo Si Alishasema Wote tuna haki sawa!! 😁😁😁, lakini si mimi tu huyo jamaa wa chini nahisi amebeba zaidi 5K...maana nyingi nimekuta ameziingiza yeye...😊
Usijali sana maisha huwa yana bahati, kesho inaweza kuwa wewe pia mkuu.
Haha pole braza, Nina njaa ila sio ya vocha aisee. Ni ya kazi lakini vocha, hapana kabisa. Nina dakika za kutumia mpaka 2029. Sijui vocha ni Nini aisee. Mara ya mwisho nashika vocha labda 2018 huko.
 
INSIDER MAN kwa uzoefu wako katika biashara naomba kufahamu kuhusu biashara ya vipodozi na biashara ya nguo za kike.

Biashara ipi kati ya hizo ni nyepesi zaidi katika kuandaa mtaji wake na kiwango cha chini kabisa cha mtaji kwa biashara hizo kinaanzia shilingi ngapi?

Soko la biashara hizi walengwa ni wanawake, je ni ipi kati ya hizo ina soko kubwa zaidi?

Na mwisho napenda kufahamu changamoto za hizo biashara.

Nakaribisha maoni ya ziada kuhusu biashara hizo.

Muhimu: Naomba muongozo kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara hizo.
 
Acha shobo hizi ni story tu za kusongesha life. Utatapeliwa bwege wewe.
 
INSIDER MAN kwa uzoefu wako katika biashara naomba kufahamu kuhusu biashara ya vipodozi na biashara ya nguo za kike.

Biashara ipi kati ya hizo ni nyepesi zaidi katika kuandaa mtaji wake na kiwango cha chini kabisa cha mtaji kwa biashara hizo kinaanzia shilingi ngapi?

Soko la biashara hizi walengwa ni wanawake, je ni ipi kati ya hizo ina soko kubwa zaidi?

Na mwisho napenda kufahamu changamoto za hizo biashara.

Nakaribisha maoni ya ziada kuhusu biashara hizo.

Muhimu: Naomba muongozo kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara hizo.
Kesho nitakujibu bossy, kwa kuangalia na Risks.
 
Back
Top Bottom