Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Haha pole braza, Nina njaa ila sio ya vocha aisee. Ni ya kazi lakini vocha, hapana kabisa. Nina dakika za kutumia mpaka 2029. Sijui vocha ni Nini aisee. Mara ya mwisho nashika vocha labda 2018 huko.
 
INSIDER MAN kwa uzoefu wako katika biashara naomba kufahamu kuhusu biashara ya vipodozi na biashara ya nguo za kike.

Biashara ipi kati ya hizo ni nyepesi zaidi katika kuandaa mtaji wake na kiwango cha chini kabisa cha mtaji kwa biashara hizo kinaanzia shilingi ngapi?

Soko la biashara hizi walengwa ni wanawake, je ni ipi kati ya hizo ina soko kubwa zaidi?

Na mwisho napenda kufahamu changamoto za hizo biashara.

Nakaribisha maoni ya ziada kuhusu biashara hizo.

Muhimu: Naomba muongozo kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara hizo.
 
Acha shobo hizi ni story tu za kusongesha life. Utatapeliwa bwege wewe.
 
Kesho nitakujibu bossy, kwa kuangalia na Risks.
 
W Wow.
 
Huu uzi unahusu nini huyo mrembo alifanyaje uzi mrefu nauona toka mwaka juzi sijausoma nisaidieni inshort.
 
Oyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.

We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.

Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosi… mara tukutane wiki hii… mara tukutane saa flan…

mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.

Una ahadi saa flan… Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
😬🥶 Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.

Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?


Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.

Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?


Lengo la kukuandikia ivi ni… Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.

Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.

Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. —————————————————————
NIME WAKILISHA.
 

Attachments

  • 1723194936217.jpg
    306.9 KB · Views: 11
Unajua maana ya kuwakilisha?. Hiyo ina maana ni mawazo ya watu wengi. Sasa utamwakilisha nani kwa mawazo yako hayo mabovu?.

Hii story inahusu maisha yanayoendelea,inaweza isiwe na mwisho. Ila inaweza kupumzishwa tu. Ksbb inahusu maisha yanayoendelea.

Sasa ukisema ifike mwisho. Mfano hapo yuko south,akisema The end utakuwa umeelewa kilichofuatia?.

Fanya THE END ni kuachana nayo wewe mwenyewe. Wengi tu wametanya hivyo. Hakuna anaekulazima uendelee nayo na chaja yako ya kuazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…