Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

cacutee
Watu8
 
Pili alipata ujauzito na katika harakati za kutaka kuutoa akaomba hela kwa insider, kisha mambo hayakwenda kama alivyopanga huenda alupoteza maisha au alikuwa mahututi asiyejitambua!

Joking!!
 
The game becomes bad mazee it's as if maisha ya insider Kwa KiPiNdi hiko yalkuwa very ruined asee sema life la Bata bila changamoto pia sio life aloo
 
Wewe ni booonge la NARCISSIST yani umekuta mai waifu wako ako low unapata wapi nguvu ya kulala na kuamka na kuondoka bila kuyaweka sawa aisee sometimes ndo mana hawa wanawake wanatupiga matukio mpk shetani anatuhurumia mtu gani kila saa "nikapata wazo la kwenda kwa jane" mara "nikapata wazo kwenda kwa Allen" mda wote unapata wazo la kwenda kwa watu kikwetu tunaita wakawaka
 
Jamaa ana kwambia Waka furahi sanaa ..amna epsode inayo kosa neno wakafurahi sana
 
Muda huu mama wa2 alitoka nje kibarazani huku mkononi kashika funguo ya gari na alitoa ishara ya kuondoka. Nilikuwa nahisi kama niko ndotoni, nilikuwa siamini kama ni kweli mimi Insider napelekwa Polisi.

Mzee baba naona ni jumba bovu baada ya jumba bovu yanakuangukia...

Itakuwa Pili kapigwa kibendi, halafu msala kakuangushia uncle Insider...
 
Nikapata wazo la kwenda kwa.......hivi unapata wazo la kwenda kwa fulani na ukafurahi kabisa wakati mke wako nyumbani hana raha na wewe ndio sababu na bado unamlaumu kwa makosa yako mwenyewe?? Eti kwanini alikagua simu jamani.

Ndio maana wanawake huwa wanawapiga matukio halafu mnajitilisha huruma hapo unapata jeuri sababu una wanawake wengi pole yake mama J kajipatia zigo la misumari unaacha kusolve matatizo na mkeo unaenda kulala kwa mchepuko shame shame...
 
binafsi inachnganya hii ndio mana wengine wanaita chai unarudije kwako wf hayupo na mlitoka kupishna then hta usijushuhulishe kujua inakuaje lkn kwak ww inakuwa km vile tayar umeshamchoka so liwalo na liwe na uhalisia haiko hvyo ila sishangai pia toka hii stor ilikoanzia hali ni hiihii majina tu ya warembo ndiyo yanabdilika ilikuwa kwa Hilda, Prisca, au Iyrn
 
Mwandiko mbaya na wa hovyo. Unatuumiza macho na hizi comments zako unazoandika na mwandiko wa hovyo.
 

Mama J hakuwa kaolewa bali mke mtarajiwa, aliwekwa ndani kinyumba...
 
Kabisa tena ni chai maharage hata uwe nunda vipi kuna namna conshasi inasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…